Majina ambayo ni moja ...yanatofautishwa na jinsia za watoto...tuweke list

Majina ambayo ni moja ...yanatofautishwa na jinsia za watoto...tuweke list

🤣🤣🤣🤣 I see u got a sense of humour😜 a play on words.
Sasa unamuitaje mtoto wako shida? Uhuni huo na roho mbaya tuu
Uhuni 🤣🤣🤣

Imagine watu wazima na akili zao timamu wanamuita mtoto kipenzi Shida/Matatizo/Havintishi
Hao naona serikali iingilie tu kati
 
Uhuni 🤣🤣🤣

Imagine watu wazima na akili zao timamu wanamuita mtoto kipenzi Shida/Matatizo/Havintishi
Hao naona serikali iingilie tu kati
Kabisaaa...mie siwezi wapa cheti cha kuzaliwa. Huo ni ukatili kwa mtoto.
Wewe kama u got problem na bby daddy au mama usilete chuki zako kwa mtoto.

Msave bby daddy au mama hayo majina kwenye simu yako
 
Back
Top Bottom