Zee la Mandandu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,064
- 2,603
Hili Freemana sijawahi lisikiaga.Freeman/Freemana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili Freemana sijawahi lisikiaga.Freeman/Freemana
Angelo/Angela.Kwa sisi kutoka kule Hispania ni rahisi. Unacheza na herufi ya mwisho tu. Wa kiume unaweka 'o' wa kike unaweka 'a'
Alberto - Alberta
Mario - Maria
Julio - Julia
Lucio - Lucia
Antonio - Antonia
Mariano - Mariana
Paulo - Paula
Adriano - Adriana
Camilo - Camila
Claudio - Claudia
Emiliano - Emiliana
Etc...
Angel sio la Kihispania. Ni la Kingereza. Kihispania chache ni Angelo/Angela.Angelo/Angela.
Angel je?
Wenyewe utawasikia wanasema Filimana ila ni hivyoHili Freemana sijawahi lisikiaga.
Lipo mkuu wajiita FilimanaHili Freemana sijawahi lisikiaga.
Traditional za wazaramu majina yalikuwa yanatoa ujumbe kule binti alipoenda.. ukweni....so akimuita mtoto shida ana maana huko ukweni shida tupu......akimuita mtoto siwatu manake anawasema hao wakwe si watu...Havintishi manake kuna mambo wanamfanyia lakin hatishiki etc...Uhuni 🤣🤣🤣
Imagine watu wazima na akili zao timamu wanamuita mtoto kipenzi Shida/Matatizo/Havintishi
Hao naona serikali iingilie tu kati
Leon/LeonaNimeona niweke thread tuweke majina ambayo kiuhalisia ni jina moja. .. tofauti ni jinsia Tu ya mtoto anaepewa.. .
Twendeni...
Joseph/Josephine .
Noel / Noela .
Shariff/Shariffa..
Aziz/Aziza
My name ah...ahfaraji/Faraja
victory/victoria
Jamaa mkorofi sana 😂😂😂😂
Aisha ilikuwa kama Haina male version Hadi alipoibuka Aish Manula...la kwako litaanza...kuna mikoa unakuta mdada anaitwa Binti Athumani au Bint SuleimanMwee mzabzab halina female version wewe. Unadhani mie mjinga kulichagua hilo jina 🤣🤣🤣🤣
Ndio leo nalisikia hilo jina toka nizaliwe
Je Kama kakuta Mambo pouwa atamwita jina ganiTraditional za wazaramu majina yalikuwa yanatoa ujumbe kule binti alipoenda.. ukweni....so akimuita mtoto shida ana maana huko ukweni shida tupu......akimuita mtoto siwatu manake anawasema hao wakwe si watu...Havintishi manake kuna mambo wanamfanyia lakin hatishiki etc...
Ndio nani huyo maana mwamtaja taja sana....vipi ana sura na chura lakini?Unamkosea wanjara mwanangu