Majina ambayo ni moja ...yanatofautishwa na jinsia za watoto...tuweke list

Majina ambayo ni moja ...yanatofautishwa na jinsia za watoto...tuweke list

Kwa sisi kutoka kule Hispania ni rahisi. Unacheza na herufi ya mwisho tu. Wa kiume unaweka 'o' wa kike unaweka 'a'

Alberto - Alberta
Mario - Maria
Julio - Julia
Lucio - Lucia
Antonio - Antonia
Mariano - Mariana
Paulo - Paula
Adriano - Adriana
Camilo - Camila
Claudio - Claudia
Emiliano - Emiliana

Etc...
Angelo/Angela.
Angel je?
 
List 1
Iddi/mwanaidi
Juma/mwajuma
Hamisi/mwanahamisi
Hija/mwahija
Rajabu/Mwajabu

List 2.
Irfan/irfat
Salim/Salma
Salum/Swaumu
 
Uhuni 🤣🤣🤣

Imagine watu wazima na akili zao timamu wanamuita mtoto kipenzi Shida/Matatizo/Havintishi
Hao naona serikali iingilie tu kati
Traditional za wazaramu majina yalikuwa yanatoa ujumbe kule binti alipoenda.. ukweni....so akimuita mtoto shida ana maana huko ukweni shida tupu......akimuita mtoto siwatu manake anawasema hao wakwe si watu...Havintishi manake kuna mambo wanamfanyia lakin hatishiki etc...
 
Mwee mzabzab halina female version wewe. Unadhani mie mjinga kulichagua hilo jina 🤣🤣🤣🤣
Ndio leo nalisikia hilo jina toka nizaliwe
Aisha ilikuwa kama Haina male version Hadi alipoibuka Aish Manula...la kwako litaanza...kuna mikoa unakuta mdada anaitwa Binti Athumani au Bint Suleiman
 
Traditional za wazaramu majina yalikuwa yanatoa ujumbe kule binti alipoenda.. ukweni....so akimuita mtoto shida ana maana huko ukweni shida tupu......akimuita mtoto siwatu manake anawasema hao wakwe si watu...Havintishi manake kuna mambo wanamfanyia lakin hatishiki etc...
Je Kama kakuta Mambo pouwa atamwita jina gani
 
Back
Top Bottom