Majina ambayo ni moja ...yanatofautishwa na jinsia za watoto...tuweke list

Angelo/Angela.
Angel je?
 
List 1
Iddi/mwanaidi
Juma/mwajuma
Hamisi/mwanahamisi
Hija/mwahija
Rajabu/Mwajabu

List 2.
Irfan/irfat
Salim/Salma
Salum/Swaumu
 
Uhuni 🀣🀣🀣

Imagine watu wazima na akili zao timamu wanamuita mtoto kipenzi Shida/Matatizo/Havintishi
Hao naona serikali iingilie tu kati
Traditional za wazaramu majina yalikuwa yanatoa ujumbe kule binti alipoenda.. ukweni....so akimuita mtoto shida ana maana huko ukweni shida tupu......akimuita mtoto siwatu manake anawasema hao wakwe si watu...Havintishi manake kuna mambo wanamfanyia lakin hatishiki etc...
 
Nimeona niweke thread tuweke majina ambayo kiuhalisia ni jina moja. .. tofauti ni jinsia Tu ya mtoto anaepewa.. .


Twendeni...

Joseph/Josephine .
Noel / Noela .
Shariff/Shariffa..
Aziz/Aziza
Leon/Leona
 
Mwee mzabzab halina female version wewe. Unadhani mie mjinga kulichagua hilo jina 🀣🀣🀣🀣
Ndio leo nalisikia hilo jina toka nizaliwe
Aisha ilikuwa kama Haina male version Hadi alipoibuka Aish Manula...la kwako litaanza...kuna mikoa unakuta mdada anaitwa Binti Athumani au Bint Suleiman
 
Je Kama kakuta Mambo pouwa atamwita jina gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…