Majina na a.k.a za wachezaji soka wa bongo yalliyonivutia zaidi

Majina na a.k.a za wachezaji soka wa bongo yalliyonivutia zaidi

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Baadhi ya majina ya wasukuma ndinga bongo yaliyokuwa yaliokuwa yakinipa Raha kuyasikia yakitamkwa

*MNENGE SURUJA ,Afc Arusha
*QUIRESHI UFUNGUO, Simba sc
*NGADE CHABANGA DIAMWALE , Yanga sc
*GAUDENSI MWAIKIMBA ak.a MWAI NNYA, Yanga sc
*KAPUMBU MTEGO, reli kigoma
* IDDY MBUZI , toto Africa
*BAKARI MARIMA jembe ulaya , Yanga sc
*MADARAKA SULEMANI mzee wa kiminyio , Simba sc
* STEVEN MAPUNDA Garincha, Simba sc
*JOSEP KANIKI golota kumbakumba, Simba sc
*ABDUL SHAIBU ninja, Yanga sc
*SAID SWED SCAD
 
Shadrak nsajigwa, aka "FUSO"
Mzamiru yasin, KIUNGO PUNDA
 
KAPUMBU MTEGO
a52e7ca7ece5e308975a924ba728f70e.jpg
 
Shukuru jajija fundi wa.mpira
Atufwugwegwe mwakalukwa
Innocent kichefuchefu
 
Back
Top Bottom