Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
🙄🙄🙄😒😒Wa UG au??
🙄🙄🙄😒😒Wa UG au??
Method mogella (kiraka)Mungu amrehemu..Wapi saidi mwamba kizota
Sunday manara computer
Ndio MADARAKA Suleiman mzee wa kiminyio babuMethod mogella (kiraka)Mungu amrehemu..
Fikiri magosso (Golden boy)
Mzee wa kiminyio ni madaraka suleimani vileee au....nakumbuka miaka iyo tunaenda kuangalia mpira kati Ya Reli ya Morogoro na timu Za Dar. Hatuna pesa ya kiingilio tukawa tunaingia uwanjani kupitia mfereji unaotoa maji machafu toka uwanjani au kuruka ukuta,,, Reli walikuwa na shabiki wao Wakuitwa Ya mungu
Ikupilika NkubiBaadhi ya majina ya wasukuma ndinga bongo yaliyokuwa yaliokuwa yakinipa Raha kuyasikia yakitamkwa
*MNENGE SURUJA ,Afc Arusha
*QUIRESHI UFUNGUO, Simba sc
*NGADE CHABANGA DIAMWALE , Yanga sc
*GAUDENSI MWAIKIMBA ak.a MWAI NNYA, Yanga sc
*KAPUMBU MTEGO, reli kigoma
* IDDY MBUZI , toto Africa
*BAKARI MARIMA jembe ulaya , Yanga sc
*MADARAKA SULEMANI mzee wa kiminyio , Simba sc
* STEVEN MAPUNDA Garincha, Simba sc
*JOSEP KANIKI golota kumbakumba, Simba sc
*ABDUL SHAIBU ninja, Yanga sc
*SAID SWED SCAD
nn maana ya JAGRA mkuu?Write your reply...MOLOTA THOMA BALL JAGRA
Said mwamba kizota! Amour AziziBaadhi ya majina ya wasukuma ndinga bongo yaliyokuwa yaliokuwa yakinipa Raha kuyasikia yakitamkwa
*MNENGE SURUJA ,Afc Arusha
*QUIRESHI UFUNGUO, Simba sc
*NGADE CHABANGA DIAMWALE , Yanga sc
*GAUDENSI MWAIKIMBA ak.a MWAI NNYA, Yanga sc
*KAPUMBU MTEGO, reli kigoma
* IDDY MBUZI , toto Africa
*BAKARI MARIMA jembe ulaya , Yanga sc
*MADARAKA SULEMANI mzee wa kiminyio , Simba sc
* STEVEN MAPUNDA Garincha, Simba sc
*JOSEP KANIKI golota kumbakumba, Simba sc
*ABDUL SHAIBU ninja, Yanga sc
*SAID SWED SCAD
Mohammed Hussein "mmachinga" yanga, Victor Costa "nyumba" simba.Shadrak nsajigwa, aka "FUSO"
Mzamiru yasin, KIUNGO PUNDA