mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Lazima uwe mtu wa 90's kuwajua haoWakuu ni mimi tu ambae simjui hata mmoja hapo!
Hatari bila kumsahau saidi swed scadWapi saidi mwamba kizota
Sunday manara computer
kizazi cha sasa tuna Mwamnyeto, Nyeto boy.Lazima uwe mtu wa 90's kuwajua hao
Oya we hasibu uki lewa tulia, huoni list ya ma legendary hiyo 😂Wapi Kibu Denga Mnorway
Noma sanaaShadrak nsajigwa, aka "FUSO"
Mzamiru yasin, KIUNGO PUNDA
KAPUMBU MTEGO
Golota kumbakumba yupo juu hapoJosefu kaniki jeee
Wee unapenda jina Gani la mchezaji??
Wa UG au??Wee unapenda jina Gani la mchezaji??