Majina na a.k.a za wachezaji soka wa bongo yalliyonivutia zaidi

Wapi saidi mwamba kizota
Sunday manara computer
Method mogella (kiraka)Mungu amrehemu..

Fikiri magosso (Golden boy)

Mzee wa kiminyio ni madaraka suleimani vileee au....nakumbuka miaka iyo tunaenda kuangalia mpira kati Ya Reli ya Morogoro na timu Za Dar. Hatuna pesa ya kiingilio tukawa tunaingia uwanjani kupitia mfereji unaotoa maji machafu toka uwanjani au kuruka ukuta,,, Reli walikuwa na shabiki wao Wakuitwa Ya mungu
 
Ndio MADARAKA Suleiman mzee wa kiminyio babu
 
Abdul Maneno "Kibavu" (RIP)
Abuu Ramadhan "Amokachi" sijui alipotelea wapi huyu dogo
Meshack Abel "non-nonsense defender"
Aziz Hunter
Hamis Kiiza "Diego"
Juma seif "Kijiko"
 
Elie kibisawala mpanzu 🀣 niπŸ”₯ wa kuotea mbali
 
Ikupilika Nkubi
 
Salumu Kabunda "ninja"-Yanga, Deo Njohole "RPC"-Simba, Makumbi Juma "Homa ya jiji"-Yanga, Itutu Kigi "the road master"-Simba, Method Mogella, "goldem boy"-Simba, Malota Soma "ball juggler"-Majimaji
 
Said mwamba kizota! Amour Azizi
 
Meddie kagere mk14

Chemalone ukuta wa yericko

Elie mpanzu volcano ,catalyst
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…