Majina na Tabia zake

Majina na Tabia zake

Hello wana JF ktk tafiti mbalimbali zinaonyesha wazi majina tunayobatizwa au tunayopewa na wazazi hufanana na tabia ambazo tunakuwa nazo tukifika ukubwani. Na hii hugundulika baada ya kulinganisha watu wawili watatu na kuwafanya sample ktk jina wanalofanana na baadhi ya majina huwa na sifa mbaya.Mfano jina la ASHA watu wenye majina haya wengi wao huwa waongeaji saana,wapenda udaku na mengine mengi na kwa wa vulana jina la EMMANUEL- watu wenye jina hili huwa wapenda ugomvi na wenye sura za upole sana. Huu ni mtazamo wangu je wewe nipe majina mengine na tabia zake na ni je unakubaliana kuwa tabia zinaendana na majina?
ACHA UONGO, kama jambo hujui bora unyamaze, kina EMANUEL ni wapole tena wana akili kinoma, nadhani huyo uliemfanyia utaiti ana jina kama lako, amekudanganya,
 
Kina
Abdul=wajanja,wana misimamo,akili na wapambanaji

Naima=wapole,wana akili na busara pia wavivu

jackln= wanagawa sana,majasiri wasiogopa ukimwi

Mrisho=Wasanii,silent killer,

Happy= hawa ni malaya kupndukia

Joshua= wapambanaji

wengne wanaendelea
 
Back
Top Bottom