Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Poleni sana
Mungu awatie nguvu
Kinachouma zaidi ni vijana wadogo

Bora wangekua age go kama babu Grahams au we mzee unaogopa kukata kamba si umeona vingi sana hahahaha
Miaka fulani Mungu akitaka kuchukua roho ya mja wake, alikuwa akitoa taarifa.

Kuna mdau mmoja, alikuwa na umri a miaka 90+ hivi, alipewa hiyo taarifa kwamba "You are next"

Aliangua kilio sio cha Nchi hii, akaanza kumkumbusha Sir God sadaka alizotoa Kwa Yatima na Wajane, plus kumjengea Mungu nyumba ya Ibada.

Baada ya kumlilia sana Sir God, ndiyo akapewa extension period ya miaka 15 zaidi ya kuishi.

Nilitaka kusema, hata Wazee tunaogopa kutangulia

Imagine hawa watoto wa elfu 2 tumwachie nani 😜
 
Hahaha.........kwahiyo nimekuwa mtabiri Babu yako, usisahau kuniletea zawadi ya Kiko tu 🤗

Kapachino najua umepata ujumbe, kazi kwako kufanyia kazi 🤗
Umekosea kidogo sana, kwenye kurudi wewe umeweka kwenda 😹🤣🤣
Nimeshtuka mpk nikahisi ulionana na binti km mimi nini!! (Mana babu kwa safari uko vizuri) 😹

Kiko umepata usiwaze babu G 😍
 
Umekosea kidogo sana, kwenye kurudi wewe umeweka kwenda 😹🤣🤣
Nimeshtuka mpk nikahisi ulionana na binti km mimi nini!! (Mana babu kwa safari uko vizuri) 😹

Kiko umepata usiwaze babu G 😍
Sikutaka kuweka details zote

Hawa Vijana hawakawii kuninunia Babu yao Kwa kuhisi tofauti

Nilikuona, ila sikutaka kupoteza identify yetu.

Tuendelee kuwa ghost hivi hivi 🤗
 
Poleni sana
Mungu awatie nguvu
Kinachouma zaidi ni vijana wadogo

Bora wangekua age go kama babu Grahams au we mzee unaogopa kukata kamba si umeona vingi sana hahahaha
Bado wadogo na mama yao kapambana mpk wamefika hapo, baba yao alikufa aliwaacha wadogo… mama kafight mpk kahamishia biashara dar mwanzo walikuwa tdm..! 🥹

Sasa unataka babu Gram awahi kufa, nani atanichekeshaga mwenzako na hekaheka zake na mibibi yake ya JF 😹😹😹

Nikiingia humu nasomaga comment za babu nacheka, leo niliona kuna uzi wa dhambi kachangia nimejikuta nacheka msibani 🤣
 
Hahaha
Numemkubali sana mwana
Yuko flexibility ana change gia tokana na mazingira

Si umeona hapo ulivo jikoki kumuuliza kwamba alikua anamaanisha namwamba jibu ni yes

Hi ndo ile ukijichanganya unakuta shwaaa umeshaachiwa manyoya.

Alafu hii hata Mimi ishanikuta humu humu jf haha alafu nashangaa narudia
 
Biashara n ubunifu huyu kaweza jitahidi nawe umzidi huyu naimani utakuwa Bora zaidi
 
Aiseee
Nimemcheki bi mkubwa wao analia vibaya mno.
Acha alie tu
Watoto wanauma

Jana sms nyingi za usia zilikua ni flani nilelee mwanangu,

Kwaiyo babu yako Grahams ana timu ya mpira kabisa eh
 
Ilikutokea kwa mywani wako 🤣😹
 
Aiseee
Nimemcheki bi mkubwa wao analia vibaya mno.
Acha alie tu
Watoto wanauma

Jana sms nyingi za usia zilikua ni flani nilelee mwanangu,

Kwaiyo babu yako Grahams ana timu ya mpira kabisa eh
Inaumiza sana basi ndio hivyo yashatokea Mungu awatie nguvu..! 😥

Babu anaupiga mwingi, yani nimecheka kwenye ule uzi.. nikitulia ntamkumbusha
 
Lipia tangazo. Hii lodge ya kwako waallah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…