Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Miaka fulani Mungu akitaka kuchukua roho ya mja wake, alikuwa akitoa taarifa.Poleni sana
Mungu awatie nguvu
Kinachouma zaidi ni vijana wadogo
Bora wangekua age go kama babu Grahams au we mzee unaogopa kukata kamba si umeona vingi sana hahahaha
Kuna mdau mmoja, alikuwa na umri a miaka 90+ hivi, alipewa hiyo taarifa kwamba "You are next"
Aliangua kilio sio cha Nchi hii, akaanza kumkumbusha Sir God sadaka alizotoa Kwa Yatima na Wajane, plus kumjengea Mungu nyumba ya Ibada.
Baada ya kumlilia sana Sir God, ndiyo akapewa extension period ya miaka 15 zaidi ya kuishi.
Nilitaka kusema, hata Wazee tunaogopa kutangulia
Imagine hawa watoto wa elfu 2 tumwachie nani 😜