Jirani sina uhakika kama tabia zangu ni nzuri au la ila nina sura (sio nzuri) inayofanya watu waamini mim ni mpole nisiye na makuuMke mwema ni lazima awe na sifa ya tabia nzuri ndo kitakachomtuliza mumewe🤗🤗🤗
Ila naamini jirani hilo unalo
We ni mpole jirani 🤗🤗🤗 wala usihofuJirani sina uhakika kama tabia zangu ni nzuri au la ila nina sura (sio nzuri) inayofanya watu waamini mim ni mpole nisiye na makuu
Thanks jirani🙏🙏We ni mpole jirani 🤗🤗🤗 wala usihofu
N.B: wanawake wanaosema wana sura mbaya ndo wanakuwaga wazuri jirani 😊😊 hivyo wewe ni mzuri uzuri huna ubonge nyanya upo slim fit 😉😉☺️
Huna unene wowote jirani upo slim fit wanawake wanene unawajua unawasikia!?Thanks jirani🙏🙏
😀😃😃
Jirani una karama ya kufariji hadi bonge nyanya la watu nimejiona supermodel?😃😀
Jirani tulia we ni mzuri tu huna ukibungo wowote ule😀😃
Jirani!!
Ingekua ni mimi chumba Cha wema ndo ningekipendelea.Wema ni mrembo jamani
Chocolate 🍫🍫😂Mmmmmh okei o
Mzee swaga zako kama za babu yangu mmoja ana Lodge zake 2 pale keko mstaafu wa 2010. Sema wewe umezidisha kuchat sanaLabda Wazee wenzangu, ila Mimi sina bahati
Ni juzi tu baridi kidogo liniondoe 🙌
Hahaha......... shukrani MkuuMzee swaga zako kama za babu yangu mmoja ana Lodge zake 2 pale keko mstaafu wa 2010. Sema wewe umezidisha kuchat sana
Siku ya pili niko hapa alafaya na jana nilibahatika kukutana na mwana JF kwa mara ya kwanza.It was very nice.Yeah
Noted dogoJirani tulia we ni mzuri tu huna ukibungo wowote
😁😁Taratibu faza😃
Huyo mwanajf ulimla! 😄😄😄Siku ya pili niko hapa alafaya na jana nilibahatika kukutana na mwana JF kwa mara ya kwanza.It was very nice.
View attachment 3169598
View attachment 3169598
View attachment 3169598
Wanawake wa hilo kabila sio wa kuoaKwani wapare wana shida gani mbona mnawasakama
Ukute wanaondoka wanachechemea then huku unazuga mnara wa kupepeaMbona hiyo kazi ya kuipepea ili mnala wa Babeli usimame tena wanashindwa😜
Bora tumezeeka sasa 🤗
Wafantabiashara wana mbwembwe sana mkuuMajina ya makahaba wa Domo au sio??,naona kamuacha Jack Wolper
Hajamshinda ZariIngekua ni mimi chumba Cha wema ndo ningekipendelea.Wema ni mrembo jamani
Mbona akili inasema wewe ndo mmiliki mkuuJack yupo ila sikuweza kupiga picha huo mlango