Loimata
JF-Expert Member
- Dec 1, 2022
- 749
- 1,741
- Thread starter
- #541
Jirani sina uhakika kama tabia zangu ni nzuri au la ila nina sura (sio nzuri) inayofanya watu waamini mim ni mpole nisiye na makuuMke mwema ni lazima awe na sifa ya tabia nzuri ndo kitakachomtuliza mumewe🤗🤗🤗
Ila naamini jirani hilo unalo