Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Mke mwema ni lazima awe na sifa ya tabia nzuri ndo kitakachomtuliza mumewe🤗🤗🤗

Ila naamini jirani hilo unalo
Jirani sina uhakika kama tabia zangu ni nzuri au la ila nina sura (sio nzuri) inayofanya watu waamini mim ni mpole nisiye na makuu
 
We ni mpole jirani 🤗🤗🤗 wala usihofu

N.B: wanawake wanaosema wana sura mbaya ndo wanakuwaga wazuri jirani 😊😊 hivyo wewe ni mzuri uzuri huna ubonge nyanya upo slim fit 😉😉☺️
 
Thanks jirani🙏🙏

😀😃😃
Jirani una karama ya kufariji hadi bonge nyanya la watu nimejiona supermodel?😃😀
 
Back
Top Bottom