Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Ukiwaona madhabahuni kama sio wao๐๐น๐น๐น
Si vibeans vinasuguana mpk cheche (In Mange voice) ๐คฃ
Kale kameshika mpini Martha kashika kwenye makali inabidi atulie tuliHuyo Joan inaelekea ana kitu, mpk kaweza kumteka mtumishi na kumtoa kwenye ndoa yake.!!?
Ana balaa zito.!!
Sisi popote kambi mkuuUnaweza ukaona Uzi una trend JF komenti nyingi ukadhani Kuna nondo za maana kumbe watu wanapiga stori zao tu duh!๐๐๐.
Halafu kwa hiyo Brenda la dogo like vizuri sana hadi mtumishi achanganyikiwe?๐Ila watumishi wana mambo mazito ya sirini, ko Martha anatolewa cheche ๐คฃ๐คฃ๐น
Na Martha akijaribu kukaacha katamuumbua wallah!kana mdomo sana so ajiandae kuwa mtumwa wa hilo penziKale kameshika mpini Martha kashika kwenye makali inabidi atulie tuli
Kale kuachika kwa amani labda nyumba yake ya kigamboni iwe imeisha.Na Martha akijaribu kukaacha katamuumbua wallah!kana mdomo sana so ajiandae kuwa mtumwa wa hilo penzi
Itakuwa linasaga na kuchuja moja kwa moja ๐น๐นHalafu kwa hiyo Brenda la dogo like vizuri sana hadi mtumishi achanganyikiwe?๐
Kumbe wanatoana mpk chรจche ๐นUkiwaona madhabahuni kama sio wao๐
Shetani kavuka mipaka mpk kwa mtumishi anampelekea moto ๐นKale kameshika mpini Martha kashika kwenye makali inabidi atulie tuli
Walivyo warembo vile wakasagane kweliItakuwa linasaga na kuchuja moja kwa moja ๐น๐น
Bora mie na mzee wa upako tunaopanda madhabahuni tukiwa tumeshtua kidogo๐พ๐๐๐ฟโโ๏ธ๐ทShetani kavuka mipaka mpk kwa mtumishi anampelekea moto ๐น
Ila Joan ana balaa km nyumba ndogo ilivyo na hekaheka lol!๐คฃ
Mi mwenyewe nashangaa mpk wanaoneana wivu, hivi ni kwamba kusagana kunanoga kuliko kufanya na mwanaume??? ๐คWalivyo warembo vile wakasagane kweli
Nyie walevi ๐นBora mie na mzee wa upako tunaopanda madhabahuni tukiwa tumeshtua kidogo๐พ๐๐๐ฟโโ๏ธ๐ท
Kwa hiyo ni Juicer๐๐??Itakuwa linasaga na kuchuja moja kwa moja ๐น๐น
๐คฏ๐คฏ๐คฏKanajengewa na nyumba??Kale kuachika kwa amani labda nyumba yake ya kigamboni iwe imeisha.
Na kungekua kuna media iko tayari kumpa pesa ya maana yule angefunguka
Ndio brand la Kenwood ๐น๐นKwa hiyo ni Juicer๐๐??
Hakika ni Kenwood maana sio kwa kuchanganyikiwa huko Da marthaNdio brand la Kenwood ๐น๐น
Ndo kanavyojigamba mwenzangu.๐คฏ๐คฏ๐คฏKanajengewa na nyumba??