Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Unaweza ukaona Uzi una trend JF komenti nyingi ukadhani Kuna nondo za maana kumbe watu wanapiga stori zao tu duh!😀😀😀.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwaona madhabahuni kama sio wao😀😹😹😹
Si vibeans vinasuguana mpk cheche (In Mange voice) 🤣
Kale kameshika mpini Martha kashika kwenye makali inabidi atulie tuliHuyo Joan inaelekea ana kitu, mpk kaweza kumteka mtumishi na kumtoa kwenye ndoa yake.!!?
Ana balaa zito.!!
Sisi popote kambi mkuuUnaweza ukaona Uzi una trend JF komenti nyingi ukadhani Kuna nondo za maana kumbe watu wanapiga stori zao tu duh!😀😀😀.
Halafu kwa hiyo Brenda la dogo like vizuri sana hadi mtumishi achanganyikiwe?😂Ila watumishi wana mambo mazito ya sirini, ko Martha anatolewa cheche 🤣🤣😹
Na Martha akijaribu kukaacha katamuumbua wallah!kana mdomo sana so ajiandae kuwa mtumwa wa hilo penziKale kameshika mpini Martha kashika kwenye makali inabidi atulie tuli
Kale kuachika kwa amani labda nyumba yake ya kigamboni iwe imeisha.Na Martha akijaribu kukaacha katamuumbua wallah!kana mdomo sana so ajiandae kuwa mtumwa wa hilo penzi
Itakuwa linasaga na kuchuja moja kwa moja 😹😹Halafu kwa hiyo Brenda la dogo like vizuri sana hadi mtumishi achanganyikiwe?😂
Kumbe wanatoana mpk chèche 😹Ukiwaona madhabahuni kama sio wao😀
Shetani kavuka mipaka mpk kwa mtumishi anampelekea moto 😹Kale kameshika mpini Martha kashika kwenye makali inabidi atulie tuli
Walivyo warembo vile wakasagane kweliItakuwa linasaga na kuchuja moja kwa moja 😹😹
Bora mie na mzee wa upako tunaopanda madhabahuni tukiwa tumeshtua kidogo🍾😂🏃🏿♀️😷Shetani kavuka mipaka mpk kwa mtumishi anampelekea moto 😹
Ila Joan ana balaa km nyumba ndogo ilivyo na hekaheka lol!🤣
Mi mwenyewe nashangaa mpk wanaoneana wivu, hivi ni kwamba kusagana kunanoga kuliko kufanya na mwanaume??? 🤔Walivyo warembo vile wakasagane kweli
Nyie walevi 😹Bora mie na mzee wa upako tunaopanda madhabahuni tukiwa tumeshtua kidogo🍾😂🏃🏿♀️😷
Kwa hiyo ni Juicer😂😂??Itakuwa linasaga na kuchuja moja kwa moja 😹😹
🤯🤯🤯Kanajengewa na nyumba??Kale kuachika kwa amani labda nyumba yake ya kigamboni iwe imeisha.
Na kungekua kuna media iko tayari kumpa pesa ya maana yule angefunguka
Ndio brand la Kenwood 😹😹Kwa hiyo ni Juicer😂😂??
Hakika ni Kenwood maana sio kwa kuchanganyikiwa huko Da marthaNdio brand la Kenwood 😹😹
Ndo kanavyojigamba mwenzangu.🤯🤯🤯Kanajengewa na nyumba??