Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nije kuzindua na wewe mkuuA
Amen napokea.
Yangu itaanza kazi mwakani
Maprofesa wa sua wanafanya kazi ganiMi-thed weld dwellers bana mnawazaga na kuendekeza starehe na anasa tu. Badala ungeenda maporini huko ukafanye research ya kilimo ili food security nchini iwe steady.
Mmebakia ku-focus tu kwenye utopolo.
Nyau de adriz
We are all hunters!!👍👍👍
Hapo uwe na kibunda kirefu tuu sio cha mawazo, unaanza taratibu usiwe na harakaSanaaa halafu pako kimyaaa nilikuta wachina wamekaa na laptop zao wanafanya kazi zao kwenye eneo la nje.
Nikiweza kuifanya yangu ifikie hii class nitaimba nyimbo za sifa🙏🏼
Kuna guest niliend chalinze, unaambiwa vyumba viko wazi chagua, kila chumba nachoenda kina demu.K
Kumbe ndo zao hizo mkuu😀
Ila siku nilivyoenda sikugundua hilo
Itakuwa ni promo.Hapa kuna mawili, aidha unafanyia promo LODGE inayokuhusu au kweli umefurahia ubunifu wa majina. Binafsi nimemkubali aliyevipa vyumba majina. Na wewe una kitu usipuuzwe..