Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Nimekumbuka miaka ya 2003/4 bro wangu upande wa mama mkubwa akamleta mama yake Dar kuja kupumzika na pilika za shamba.

Siku hiyo akamtia kwenye Mark ll Grand yake nikiwa nao kumzungusha kwenye vitega uchumi vyake mjini ukiacha vyote alikuwa na guest yake Mabibo akampeleka ile kufika sijui bi mkubwa alijuaje ile ni gest akarudi haraka kwenye gari akiwa ametahamaki anasali na kumuapiza mwanae kilugha kwamba hata siku moja asije akampa tena hela zake anazozipata kwa watu kukaa uchi.
 
Kuna hii uku
-uk5wf0.jpg
 
Back
Top Bottom