Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Shem wako Kalaga Baho Nongwa anasema anakaa kibonde maji hata sipajui mi naona huba hili lishakuwa gumu🫠Shem Kalaga Baho Nongwa kashusha pochi kali twende tukachague za kwendea Zanzibar 😹🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shem wako Kalaga Baho Nongwa anasema anakaa kibonde maji hata sipajui mi naona huba hili lishakuwa gumu🫠Shem Kalaga Baho Nongwa kashusha pochi kali twende tukachague za kwendea Zanzibar 😹🤣🤣
Karibu my..usijali nitakupa another one😍😍😍 niko salama dada yangu
Ahsante kwa kujali, nilipiga namba yako hata haipatikani 😹😹
Huyo usikute anaishi mbwinde ila hataki kuweka wazi utamtosa 😹😹😹🤣Shem wako Kalaga Baho Nongwa anasema anakaa kibonde maji hata sipajui mi naona huba hili lishakuwa gumu🫠
Madaam umekataa kuniletea Kiko basi nitaendelea kuwa ghost hivi hivi 😅😹😹😹 babu
😘 fanya hivyo ili siku nikifa usipate shida ya kutoa taarifa humu..Karibu my..usijali nitakupa another one
Kuwa na imani na Wazee 🤗Babu ni Bartasar mtupuuu 😹😹
Babu kiko atakuletea kapeace si tumekubaliana lakini?!! 😹Madaam umekataa kuniletea Kiko basi nitaendelea kuwa ghost hivi hivi 😅
Babu wewe unafukuza mwizi kimya kimya 😹Kuwa na imani na Wazee 🤗
AiseeHabari wakuu.
Kama mnakumbuka niliwahi kuandika uzi juu ya ndoto yangu ya kuanzisha Lodge na nikaumba ushauri juu ya biashara hiyo ambayo Kwa mapenzi ya Mungu mwakani nitakua tayari kuifanya InshaAllah🙏🏼.
Sasa ktk harakati zangu za kufanya research juu ya biashara hii kuna mtu akanishauri nipite pite ktk Lodge kadhaa nione wenzangu wanavyofanya na akanishauri ktk Lodge nitakazopitia nisiache kufika ktk Lodge inayoitwa ALAFAYA iliyoko VIKINDU.
Nikamwambia why niende mbali kote huko?Akasema wewe nenda amini utajifunza mengi.Siku ya siku nikaenda hapo ALAFAYA nikajifanya mteja.Nilipofika hapo nikaelewa kwanini jamaa yangu alisisitiza niende hapo.
Ni ka Lodge fulani hivi kadogo dogo kenye mazingira tulivu na yenye kuvutia sana ndani na nje.Naweza kusema kwa wilaya nzima ya mkuranga hakuna Lodge Classic kama ile.Vipo vingi nimeiga na kuvifanya vizuri zaidi yao😀😀
Tuachane na hayo.Kilichonishangaza hadi kuandika huu uzi ni majina ya vyumba vya ile Lodge.Nimezoea kuona watu wakiandika room numbers au majina ya mikoa au wanyama ila huyu mwenye hii Lodge sijui aliwaza nini hadi akaweka haya majina.
Hili la haya majina sina uhakika kama ni la kuiga bado linanifikirisha😀😀😀
Jioneeni wenyewe kwenye picha wakuu🙃⬇️⬇️View attachment 3153877View attachment 3153878View attachment 3153879View attachment 3153880View attachment 3153882View attachment 3153889View attachment 3153890
Hiyo tabia mbona sina Babu yenu, ukiniletea Kiko tutaongea Kwa kirefuBabu wewe unafukuza mwizi kimya kimya 😹
Hahaha............ Balthazar amefanya Wazee wote tukose kuaminika 😅Baltazary kaja kutu Sanua sana
Vikindu ipo wapi?
LabdaKwamba amelisajili?
Babu anapiga kwenye mshonoBabu ni Bartasar mtupuuu 😹😹
Mwamba sana baltazar!Hahaha............ Balthazar amefanya Wazee wote tukose kuaminika 😅
Jamaa hafaiMwamba sana baltazar!
Yale niliyokuambiaga
Si umeona hata wake wahuni wanakula
Labda sijaelewa. Cha ajabu au upekee wake ni nini?Habari wakuu.
Kama mnakumbuka niliwahi kuandika uzi juu ya ndoto yangu ya kuanzisha Lodge na nikaumba ushauri juu ya biashara hiyo ambayo Kwa mapenzi ya Mungu mwakani nitakua tayari kuifanya InshaAllah🙏🏼.
Sasa ktk harakati zangu za kufanya research juu ya biashara hii kuna mtu akanishauri nipite pite ktk Lodge kadhaa nione wenzangu wanavyofanya na akanishauri ktk Lodge nitakazopitia nisiache kufika ktk Lodge inayoitwa ALAFAYA iliyoko VIKINDU.
Nikamwambia why niende mbali kote huko?Akasema wewe nenda amini utajifunza mengi.Siku ya siku nikaenda hapo ALAFAYA nikajifanya mteja.Nilipofika hapo nikaelewa kwanini jamaa yangu alisisitiza niende hapo.
Ni ka Lodge fulani hivi kadogo dogo kenye mazingira tulivu na yenye kuvutia sana ndani na nje.Naweza kusema kwa wilaya nzima ya mkuranga hakuna Lodge Classic kama ile.Vipo vingi nimeiga na kuvifanya vizuri zaidi yao😀😀
Tuachane na hayo.Kilichonishangaza hadi kuandika huu uzi ni majina ya vyumba vya ile Lodge.Nimezoea kuona watu wakiandika room numbers au majina ya mikoa au wanyama ila huyu mwenye hii Lodge sijui aliwaza nini hadi akaweka haya majina.
Hili la haya majina sina uhakika kama ni la kuiga bado linanifikirisha😀😀😀
Jioneeni wenyewe kwenye picha wakuu🙃⬇️⬇️View attachment 3153877View attachment 3153878View attachment 3153879View attachment 3153880View attachment 3153882View attachment 3153889View attachment 3153890
Labda sijaelewa. Cha ajabu au upekee wake ni niniHabari wakuu.