Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Mambo ya kula vinonoπŸ˜€πŸ˜ƒ
Eeeh si mnawaona wenzenu Nick na Rose Shaboka kwanza mnajifanya mnapendana hatari hadi tunawaoneo wivu,sisi wote wenye matatizo ya ndoa mkituambia njooni toeni ya kujimaliza ili mpate upako wa ndoa yenye amani wallah hatupindui.....kumbe nyie wenyewe mkirudi home hamuongeiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜Š
Vinono vinataka strategy sana kuvipata!

Nilikua nacheki interview ya mama Martha mwaipaj.Nimemuonea huruma nimelia sana ila kuna sehemu ikafika akanichekesha alivyosema Mungu anisamehe nilikula fungu la kumi nikajenga bandaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sijaiona ngoja niitafute chap
 
Kaicheki ndugu yangu dunia ina mambo yakufikirisha hii
Mmmh mtumishi hii familia itabidi tuiweke kwenye maombi ya mnyororo mbona mambo yamekuwa mengi sana?Yaani unawezaje kuamini mama aliyekulea kwa tabu tangu utotoni ghafla waje watu wakuambie eti sio mama yako hii imekaaje?kwa mtazamo wangu na yule mpenzi wake Joan atakuwa anatumia na mbinu za jadi
 
Nimevuta hisia siku mwanangu aniambie mama nimeambiwa wewe sio mama yangu😭😭😭
Najiuliza yule Joan nini kinampa nguvu yakufanya yale?
Au kam blackmail martha?
Ikitokea wale wameachana vibaya tutasikia mengi na mimi naombea waachane mama martha apate mwanae na wambea tupate ubuyu
 
Halafu maombi ya mnyororo ni yepi hayo mtumishi?
 
Nimevuta siku mwanangu aniambie mama nimeambiwa wewe sio mama yangu😭😭😭
Najiuliza yule Joan nini kinampa nguvu yakufanya yale?
Au kam blackmail martha?
Ikitokea wale wameachana vibaya tutasikia mengi na mimi naombea waachane mama martha apate mwanae na wambea tupate ubuyu
Vina muda basi?wataachana tu,tena kwa aibu! Hapo ndio utasikia Joan kaokoka anatoa ushuhuda wa matendo maovu waliyokuwa wakiyatenda sirini na Da Martha,yatawekwa nuruni we tulia.. wambea tuna kiburudisho tunaandaliwaπŸ˜‚
Na ana mdomo huyo mtoto naona tu huko insta anavyotrend,anauliza wachambaji wa insta mnapata wapi ujasiri kumtukana mtu anadrive gari ya 130?πŸ˜„
 
Halafu maombi ya mnyororo ni yepi hayo mtumishi?
Unayajua...ni yale ya group,yaani mimi,wewe,Beatrice,mama Beatrice,jemima,John,Sandra,Jane, Nk...tunakubaliana hili jambo tunaliweka kwenye maombi kwa siku labda 5,tunafunga haijalishi distance,mnakubalina muda wa kuomba kwa pamoja sasa labda saa 8 usiku wote tuwe macho tunaamka tunajiconnect kwa njia ya simu kama mpo mbalimbali mnaamsha dude kesho tena
 
Vina muda basi?wataachana tu,tena kwa aibu! Hapo ndio utasikia Joan kaokoka anatoa ushuhuda wa matendo maovu waliyokuwa wakiyatenda sirini na Da Martha,yatawekwa nuruni we tulia.. wambea tuna kiburudisho tunaandaliwaπŸ˜‚
Na ana mdomo huyo mtoto naona tu huko insta anavyotrend,anauliza wachambaji wa insta mnapata wapi ujasiri kumtukana mtu anadrive gari ya 130?πŸ˜„
Kwa nilivyomsoma Joan ikitokea hivyo atatulisha ubuyu hadi midomo itoke lengelenge!
Yule anaonekana akipanikishwa kidogo ubongo unajizima.
Hata hii issue yeye ndo kasababisha yawe makubwa kwa kuongea vitu vingi visivyofaa.
Katukana watanzania wote,katukana dada wa damu wa mume/mke wake,kafurusha mama wa mke/mumewe,kamdhalilisha Yesu wanayemtumia kupiga hela.
Joan ni heartless chickenhead.
Nimekachukia
 
Unayajua...ni yale ya group,yaani mimi,wewe,Beatrice,mama Beatrice,jemima,John,Sandra,Jane, Nk...tunakubaliana hili jambo tunaliweka kwenye maombi kwa siku labda 5,tunafunga haijalishi distance,mnakubalina muda wa kuomba kwa pamoja sasa labda saa 8 usiku wote tuwe macho tunaamka tunajiconnect kwa njia ya simu kama mpo mbalimbali mnaamsha dude kesho tena

Anhaaa kumbe ni haya.
 
Nimevuta hisia siku mwanangu aniambie mama nimeambiwa wewe sio mama yangu😭😭😭
Najiuliza yule Joan nini kinampa nguvu yakufanya yale?
Au kam blackmail martha?
Ikitokea wale wameachana vibaya tutasikia mengi na mimi naombea waachane mama martha apate mwanae na wambea tupate ubuyu
Hivi ni kweli huyo Joan anamsaga Martha au wambea wanakuza mambo?
 
Vina muda basi?wataachana tu,tena kwa aibu! Hapo ndio utasikia Joan kaokoka anatoa ushuhuda wa matendo maovu waliyokuwa wakiyatenda sirini na Da Martha,yatawekwa nuruni we tulia.. wambea tuna kiburudisho tunaandaliwaπŸ˜‚
Na ana mdomo huyo mtoto naona tu huko insta anavyotrend,anauliza wachambaji wa insta mnapata wapi ujasiri kumtukana mtu anadrive gari ya 130?πŸ˜„
Ila watumishi wana mambo mazito ya sirini, ko Martha anatolewa cheche 🀣🀣😹
 
Hee kumbe kuna kutolewa rinda na kutolewa cheche???!!πŸƒπŸΏβ€πŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈ
 
😹😹😹
Si vibeans vinasuguana mpk cheche (In Mange voice) 🀣
 
Back
Top Bottom