Pridah
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 1,495
- 3,453
Mambo ya kula vinonoπππππHatari kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya kula vinonoπππππHatari kabisa
Eeeh si mnawaona wenzenu Nick na Rose Shaboka kwanza mnajifanya mnapendana hatari hadi tunawaoneo wivu,sisi wote wenye matatizo ya ndoa mkituambia njooni toeni ya kujimaliza ili mpate upako wa ndoa yenye amani wallah hatupindui.....kumbe nyie wenyewe mkirudi home hamuongeiπ π πMambo ya kula vinonoππ
πππEeeh si mnawaona wenzenu Nick na Rose Shaboka kwanza mnajifanya mnapendana hatari hadi tunawaoneo wivu,sisi wote wenye matatizo ya ndoa mkituambia njooni toeni ya kujimaliza ili mpate upako wa ndoa yenye amani wallah hatupindui.....kumbe nyie wenyewe mkirudi home hamuongeiπ π π
Sijaiona ngoja niitafute chapπππ
Vinono vinataka strategy sana kuvipata!
Nilikua nacheki interview ya mama Martha mwaipaj.Nimemuonea huruma nimelia sana ila kuna sehemu ikafika akanichekesha alivyosema Mungu anisamehe nilikula fungu la kumi nikajenga bandaππ
Kaicheki ndugu yangu dunia ina mambo yakufikirisha hiiSijaiona ngoja niitafute chap
Mmmh mtumishi hii familia itabidi tuiweke kwenye maombi ya mnyororo mbona mambo yamekuwa mengi sana?Yaani unawezaje kuamini mama aliyekulea kwa tabu tangu utotoni ghafla waje watu wakuambie eti sio mama yako hii imekaaje?kwa mtazamo wangu na yule mpenzi wake Joan atakuwa anatumia na mbinu za jadiKaicheki ndugu yangu dunia ina mambo yakufikirisha hii
Nimevuta hisia siku mwanangu aniambie mama nimeambiwa wewe sio mama yanguπππMmmh mtumishi hii familia itabidi tuiweke kwenye maombi ya mnyororo mbona mambo yamekuwa mengi sana?Yaani unawezaje kuamini mama aliyekulea kwa tabu tangu utotoni ghafla waje watu wakuambie eti sio mama yako hii imekaaje?kwa mtazamo wangu na yule mpenzi wake Joan atakuwa anatumia na mbinu za jadi
Halafu maombi ya mnyororo ni yepi hayo mtumishi?Mmmh mtumishi hii familia itabidi tuiweke kwenye maombi ya mnyororo mbona mambo yamekuwa mengi sana?Yaani unawezaje kuamini mama aliyekulea kwa tabu tangu utotoni ghafla waje watu wakuambie eti sio mama yako hii imekaaje?kwa mtazamo wangu na yule mpenzi wake Joan atakuwa anatumia na mbinu za jadi
Vina muda basi?wataachana tu,tena kwa aibu! Hapo ndio utasikia Joan kaokoka anatoa ushuhuda wa matendo maovu waliyokuwa wakiyatenda sirini na Da Martha,yatawekwa nuruni we tulia.. wambea tuna kiburudisho tunaandaliwaπNimevuta siku mwanangu aniambie mama nimeambiwa wewe sio mama yanguπππ
Najiuliza yule Joan nini kinampa nguvu yakufanya yale?
Au kam blackmail martha?
Ikitokea wale wameachana vibaya tutasikia mengi na mimi naombea waachane mama martha apate mwanae na wambea tupate ubuyu
Unayajua...ni yale ya group,yaani mimi,wewe,Beatrice,mama Beatrice,jemima,John,Sandra,Jane, Nk...tunakubaliana hili jambo tunaliweka kwenye maombi kwa siku labda 5,tunafunga haijalishi distance,mnakubalina muda wa kuomba kwa pamoja sasa labda saa 8 usiku wote tuwe macho tunaamka tunajiconnect kwa njia ya simu kama mpo mbalimbali mnaamsha dude kesho tenaHalafu maombi ya mnyororo ni yepi hayo mtumishi?
Kwa nilivyomsoma Joan ikitokea hivyo atatulisha ubuyu hadi midomo itoke lengelenge!Vina muda basi?wataachana tu,tena kwa aibu! Hapo ndio utasikia Joan kaokoka anatoa ushuhuda wa matendo maovu waliyokuwa wakiyatenda sirini na Da Martha,yatawekwa nuruni we tulia.. wambea tuna kiburudisho tunaandaliwaπ
Na ana mdomo huyo mtoto naona tu huko insta anavyotrend,anauliza wachambaji wa insta mnapata wapi ujasiri kumtukana mtu anadrive gari ya 130?π
Unayajua...ni yale ya group,yaani mimi,wewe,Beatrice,mama Beatrice,jemima,John,Sandra,Jane, Nk...tunakubaliana hili jambo tunaliweka kwenye maombi kwa siku labda 5,tunafunga haijalishi distance,mnakubalina muda wa kuomba kwa pamoja sasa labda saa 8 usiku wote tuwe macho tunaamka tunajiconnect kwa njia ya simu kama mpo mbalimbali mnaamsha dude kesho tena
Hivi ni kweli huyo Joan anamsaga Martha au wambea wanakuza mambo?Nimevuta hisia siku mwanangu aniambie mama nimeambiwa wewe sio mama yanguπππ
Najiuliza yule Joan nini kinampa nguvu yakufanya yale?
Au kam blackmail martha?
Ikitokea wale wameachana vibaya tutasikia mengi na mimi naombea waachane mama martha apate mwanae na wambea tupate ubuyu
Ila watumishi wana mambo mazito ya sirini, ko Martha anatolewa cheche π€£π€£πΉVina muda basi?wataachana tu,tena kwa aibu! Hapo ndio utasikia Joan kaokoka anatoa ushuhuda wa matendo maovu waliyokuwa wakiyatenda sirini na Da Martha,yatawekwa nuruni we tulia.. wambea tuna kiburudisho tunaandaliwaπ
Na ana mdomo huyo mtoto naona tu huko insta anavyotrend,anauliza wachambaji wa insta mnapata wapi ujasiri kumtukana mtu anadrive gari ya 130?π
Sijui mwaya mdogo wangu ila uhusiano wao unatia shakaHivi ni kweli huyo Joan anamsaga Martha au wambea wanakuza mambo?
Hee kumbe kuna kutolewa rinda na kutolewa cheche???!!ππΏβππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈIla watumishi wana mambo mazito ya sirini, ko Martha anatolewa cheche π€£π€£πΉ
Na wanasema eti Bite alitembea na shemeji yake (Mume wa Martha)Sijui mwaya mdogo wangu ila uhusiano wao unatia shaka
πΉπΉπΉHee kumbe kuna kutolewa rinda na kutolewa cheche???!!ππΏβππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
Kale ka Joan sikaamini!Na wanasema eti Bite alitembea na shemeji yake (Mume wa Martha)
Km ni kweli basi hiyo familia ina mambo meusi.!!
Huyo Joan inaelekea ana kitu, mpk kaweza kumteka mtumishi na kumtoa kwenye ndoa yake.!!?Kale ka Joan sikaamini!
Hata ya sumu siamini.
Kalikua kanajaribu kufanya demage control kakaharibu zaidi