Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… tukamlipie kwa sharti aturuhusu turushe uzi wenye tittle PRIDAH ATELEKEZWA NA DANGA GUESTπŸ˜…πŸ˜…πŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈ
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Muweke na picha nikiwa nafua matauloπŸƒ
 
🀣🀣weee labda familia yake hatupo ni simu moja tu boss mtoto Lamomy ataomba lipa number case closed...ndugu yetu Pridah ni mtumishi hatuwezi ruhusu fedheha , sisi familia yetu haina visa vya kina Mwaipaja sisi tunabebeana misalaba
😍😍😍
Nawapenda my golden familyπŸ™πŸ™
Halafu boss baby hajati
mkia mashariki ya mbali kweli coz simpati kwenye rada
 
Habari wakuu.

Kama mnakumbuka niliwahi kuandika uzi juu ya ndoto yangu ya kuanzisha Lodge na nikaumba ushauri juu ya biashara hiyo ambayo Kwa mapenzi ya Mungu mwakani nitakua tayari kuifanya InshaAllahπŸ™πŸΌ.

Sasa ktk harakati zangu za kufanya research juu ya biashara hii kuna mtu akanishauri nipite pite ktk Lodge kadhaa nione wenzangu wanavyofanya na akanishauri ktk Lodge nitakazopitia nisiache kufika ktk Lodge inayoitwa ALAFAYA iliyoko VIKINDU.

Nikamwambia why niende mbali kote huko?Akasema wewe nenda amini utajifunza mengi.Siku ya siku nikaenda hapo ALAFAYA nikajifanya mteja.Nilipofika hapo nikaelewa kwanini jamaa yangu alisisitiza niende hapo.

Ni ka Lodge fulani hivi kadogo dogo kenye mazingira tulivu na yenye kuvutia sana ndani na nje.Naweza kusema kwa wilaya nzima ya mkuranga hakuna Lodge Classic kama ile.Vipo vingi nimeiga na kuvifanya vizuri zaidi yaoπŸ˜€πŸ˜€

Tuachane na hayo.Kilichonishangaza hadi kuandika huu uzi ni majina ya vyumba vya ile Lodge.Nimezoea kuona watu wakiandika room numbers au majina ya mikoa au wanyama ila huyu mwenye hii Lodge sijui aliwaza nini hadi akaweka haya majina.

Hili la haya majina sina uhakika kama ni la kuiga bado linanifikirishaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Jioneeni wenyewe kwenye picha wakuuπŸ™ƒβ¬‡οΈβ¬‡οΈView attachment 3153877View attachment 3153878View attachment 3153879View attachment 3153880View attachment 3153882View attachment 3169844View attachment 3170610View attachment 3170611View attachment 3180337View attachment 3180340View attachment 3180335View attachment 3180346View attachment 3180347
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa hii baba na mtoto yenu ni kama ile mama na mtoto ya martha na joan au ni hii ile
tunayoijua woteπŸ€”πŸ€”

a
Usiwaze vibaya jirani Pridah πŸ€— ni mtoto wangu tuna undugu wa muda mrefu kabla hata hatujajiunga JF 😁
 
Back
Top Bottom