Majina wanaopewa wanaume wasiofanyiwa tohara kwenye makabila mbalimbali nchini

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Naleta majina yanayotumika kwa watu ambao hawajafanyiwa tohara kwenye makabila mbalimbali nchini

Isemboo Kichaga
Warisyaa Kikurya
Isekaa Kimeru
Laiyok Kimasai
Akakata Kinyakyusa
Murajoni Kikaguru

Naomba utaje huko kwenu wasiofanyiwa tohara wanaitwaje

Niwatakie siku njema wapendwa
 
Kwa kikaguru wanaitwa MURAJONI. hili neno linajumuisha dharau ndani yake

kwa mtu alietahiriwa na ukamuita MURAJONI anaweza kukufungulia kesi mahakamani au akakutupia majini
 
Mnyambala kwa kinyakyusa sio asie fanyiwa tohara ni mwanaume!Asiyetahiriwa tunaita'Akakata'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…