Majina wanaopewa wanaume wasiofanyiwa tohara kwenye makabila mbalimbali nchini

Majina wanaopewa wanaume wasiofanyiwa tohara kwenye makabila mbalimbali nchini

kwanini watu wasiofanyiwa tohara wapewe majina ya ajabu ajabu wakati kitendo hicho sio jambo la lazima, na hata mtu asipofanyiwa hapungui lolote
Imekuwa kama sheria..imeleta mindset kuonekana ni hali ya ajabu ..hata zoezi linapofanywa ni sbb zaidi za kisaokolojia na kiafya..anyway imekuwa mhimu kwa kila kabila..na taasisi za serikali na mashirika yasiyo kiserikali wakiwa na ruzuku utawaona wakihamasisha circumcision hasa kwa wanaume watu wazimq. Sabab za kiafya ndo mhimu zaidi. But one can take care hygiene yake na isiwe tatizo sana. Ila kisaikolojia meeting your partner for sex inaleta kutojiamini.
 
sijui kwenu wakristo, ila kwetu waislamu kitendo cha kutahiriwa kipo kundi la 'sunna' yani maana yake ni matendo ambayo ni mazuri kuyatenda lakini sio ya lazima.
Biblically kutahiriwa au kutotahiriwa manayake ilikuwa kiroho zaidi..ila kimwili Yes or No ni sawa, ila kama utamaduni fulani na ni kama manhood inatambulishwa kwa tohara, though common sense values nothing
 
Watani zangu Wajaluo na wasukuma hawawezi kutokea hapa maana ni jadi yao kutotahiriwa😆
Nakumbuka shule huko kanda ya kati, wanapokuja kwa form 1 na form 5 wanakuja na magovi, ile hali ya shule kuchekwa wakienda lilizo tu wakirudi wamekata magovi yao.
 
Mpaka karne hii bado kuna maviumbe hayatahiriwi?pathetic
 
Wadau hamjamboni nyote?

Naleta majina yanayotumika kwa watu ambao hawajafanyiwa tohara kwenye makabila mbalimbali nchini

Isemboo Kichaga
Warisyaa Kikurya
Isekaa Kimeru
Laiyok Kimasai
Akakata Kinyakyusa
Murajoni Kikaguru

Naomba utaje huko kwenu wasiofanyiwa tohara wanaitwaje

Niwatakie siku njema wapendwa
kwann una penda magovi??
 
Back
Top Bottom