Majina wanaopewa wanaume wasiofanyiwa tohara kwenye makabila mbalimbali nchini

Majina wanaopewa wanaume wasiofanyiwa tohara kwenye makabila mbalimbali nchini

kwanini watu wasiofanyiwa tohara wapewe majina ya ajabu ajabu wakati kitendo hicho sio jambo la lazima, na hata mtu asipofanyiwa hapungui lolote
Usiishi na govi kiongozi; govi ni takataka. Ondoa govi kama sehemu ya usafi wa kimwili na kiroho pia. Wazaliwa wa kiume watahiriwe as soon as practicable!
 
Nakumbuka miaka hiyo ya shule...wakati wa kukatika kwa maji ya bomba..wanafunzi tulio wengi tulikuwa tunakwenda kuoga na kufua kwenye vijito vilivyoizunguka shule.
Sasa Hawa wenye Govinda..walikuwa radhi wabebe maji hata zaidi ya kilomita 5 ili tu akaogee bafuni.
 
Wenye Parajuani walikua wanaenda na ndoo kuoga bafuni
 
Ndio..haijalishi wanatembea umbali gani..ila wengine walikuwa wakirudi likizo wanakuwa wamewalazimisha wazazi wao kuyatoa
Parajuani langu nakumbuka nilipigwa bisu bila ganzi sitosahau
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Wadau hamjamboni nyote?

Naleta majina yanayotumika kwa watu ambao hawajafanyiwa tohara kwenye makabila mbalimbali nchini

Isemboo Kichaga
Warisyaa Kikurya
Isekaa Kimeru
Laiyok Kimasai
Akakata Kinyakyusa
Murajoni Kikaguru

Naomba utaje huko kwenu wasiofanyiwa tohara wanaitwaje

Niwatakie siku njema wapendwa
Kigogo mloyani!!
 
Kikurya mwanamme asiyetahiriwa anaitwa 'musacha' na wakike anaitwa "msagane,"
 
Wadau hamjamboni nyote?

Naleta majina yanayotumika kwa watu ambao hawajafanyiwa tohara kwenye makabila mbalimbali nchini

Isemboo Kichaga
Warisyaa Kikurya
Isekaa Kimeru
Laiyok Kimasai
Akakata Kinyakyusa
Murajoni Kikaguru

Naomba utaje huko kwenu wasiofanyiwa tohara wanaitwaje

Niwatakie siku njema wapendwa
Gentamycine -Kizungu
 
Govi - Kiswahili
 
Back
Top Bottom