Usiishi na govi kiongozi; govi ni takataka. Ondoa govi kama sehemu ya usafi wa kimwili na kiroho pia. Wazaliwa wa kiume watahiriwe as soon as practicable!kwanini watu wasiofanyiwa tohara wapewe majina ya ajabu ajabu wakati kitendo hicho sio jambo la lazima, na hata mtu asipofanyiwa hapungui lolote
Wewe muongo 🤣🤣🤣Kinyakyusa anaitwa mnyambala.
Na wanawake wakikufahamu hivyo...utaishia kumaliza sabuniMnembaa, kusini nazan kimakonde
Parajuani kidogo kabila la kidogo ni wadigo waliochangamkaNaomba utaje huko kwenu wasiofanyiwa tohara wanaitwaje
Wenye Parajuani walikua wanaenda na ndoo kuoga bafuniNakumbuka miaka hiyo ya shule...wakati wa kukatika kwa maji ya bomba..wanafunzi tulio wengi tulikuwa tunakwenda kuoga na kufua kwenye vijito vilivyoizunguka shule.
Sasa Hawa wenye Govinda..walikuwa radhi wabebe maji hata zaidi ya kilomita 5 ili tu akaogee bafuni.
Ndio..haijalishi wanatembea umbali gani..ila wengine walikuwa wakirudi likizo wanakuwa wamewalazimisha wazazi wao kuyatoaWenye Parajuani walikua wanaenda na ndoo kuoga bafuni
Parajuani langu nakumbuka nilipigwa bisu bila ganzi sitosahauNdio..haijalishi wanatembea umbali gani..ila wengine walikuwa wakirudi likizo wanakuwa wamewalazimisha wazazi wao kuyatoa
Kigogo mloyani!!Wadau hamjamboni nyote?
Naleta majina yanayotumika kwa watu ambao hawajafanyiwa tohara kwenye makabila mbalimbali nchini
Isemboo Kichaga
Warisyaa Kikurya
Isekaa Kimeru
Laiyok Kimasai
Akakata Kinyakyusa
Murajoni Kikaguru
Naomba utaje huko kwenu wasiofanyiwa tohara wanaitwaje
Niwatakie siku njema wapendwa
Wanakuaga watamu sana Hawa wakusagana wasagane hapo wamekua wengi tunawaita wanasaganamsagane
Gentamycine -KizunguWadau hamjamboni nyote?
Naleta majina yanayotumika kwa watu ambao hawajafanyiwa tohara kwenye makabila mbalimbali nchini
Isemboo Kichaga
Warisyaa Kikurya
Isekaa Kimeru
Laiyok Kimasai
Akakata Kinyakyusa
Murajoni Kikaguru
Naomba utaje huko kwenu wasiofanyiwa tohara wanaitwaje
Niwatakie siku njema wapendwa
Govi - KiswahiliWadau hamjamboni nyote?
Naleta majina yanayotumika kwa watu ambao hawajafanyiwa tohara kwenye makabila mbalimbali nchini
Isemboo Kichaga
Warisyaa Kikurya
Isekaa Kimeru
Laiyok Kimasai
Akakata Kinyakyusa
Murajoni Kikaguru
Naomba utaje huko kwenu wasiofanyiwa tohara wanaitwaje
Niwatakie siku njema wapendwa