Majina ya Kiafrika mbioni kutoweka

Kabisa huu ndo ukweli, nakumbuka nilienda kumbatiza firstborn (nilimpa jina la kiswahili) akasema hilo jina halipo kwenye biblia nitafute lililopo kwenye biblia, nililichukia hilo kanisa RC na sikurudi tenaaaaaa niko zangu Lutheran saiv
Wanawake mnapenda sana kuzira na kususa ila ningekuwa karibu ningekubembeleza.
 
MAASAI MEN

Losaru
Lobulu
Logotu
Longishu
Loo Mbesai
Losujaki
Lomayan
Loserian
Losyeku
Naomi

MAASAI WOMEN

Nossim
Nana
Nasyeku
Naserian
Namayan
Nongishu
Noo Mbesai
Naisujak
Nabulu
Naomi
Niliwahi kuwa na pisi moja inaitwa Naomi ni mixture ya Maasai na Mang'ati aisee ni 🔥
 
Wewe mwenyewe tatizo City Owl ndio nini ?
 
Majina ya ukoo yako pale pale, maybe hawawapi watoto wao lakin hayapotei
Tatizo ni kwamba kizazi chetu ndiyo tunathamini majina ya ukoo.
Kizazi Cha pili na tatu kutoka sasa hawataona thamani ya hilo jina la ukoo, wataachana nalo.

Bila shaka umeshakutana na watanzania kibao hawana hata jina la ukoo.

Pia, ukiitwa Paul Ferdinand Urio, karibia 70% ya utambulisho wako ni uzungu mtupu. Na hapo ndipo wengi tulipo.
Amini nakuambia, kutoka 70 kwenda 100 ni rahisi kuliko kurudi 0.
 
Maana ya majina ni kumtambulisha mtu
Ukiskia Lui xin unawazia China
Ukiskia Takumi sagiwara unawazia japan
Ukiskia Uche Abe unawazia Nigeria
Ukiskia Mamadou Camara unajua ni Mali senegal na wengineo
Ukiskia Siphiwe unajua ni SA


Haya twende ukiskia Nasiib abdul
Elizabeth michael
Abdallah Hussein
Jose Franklin


Najivunia majina yangu ni asili yangu
Naitwa Shukurani
 
Uko sahihi kabisa. Majina yetu ya asili, ambayo mengi yana maana kama Mabula, Mayala, Mwooga, nk. Tumemeba majina ya ubatizo. Mbeleni tutapoteza identity kabisa!
 
Walinikera kwa hilo jibu, mtoto nimbebe miezi 9 nimzae kwa uchungu halafu unichagulie jina la kwenye biblia kwamba nililompa halifai !!!! Nyoooooko zao
Mimi mke wangu walitaka ku question maana ya jina lake wakati anapokea kipaimara ila wakaishia kukubali kishingo upande.
 
tatizo le2 2nachamba wima!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…