Majina ya Kiafrika mbioni kutoweka

Umejiunga JF 2024, Mimi nimejiunga 2014.. Miaka 10 iliyopita. Sikuwa nafikiria kama ninavyofikiria sasa.
Acha nikubali hii ni account ya kwanza hapa jf....kwaio nawewe unakubali kwamba ulikosea na unaweza kufungua account mpya ya mwaka 2025 itakayotukuza uafrica? Maana John au Mohamad waliitwa hayo majina bila kupenda na wazazi wao ila wewe City Owl umejiita mwenyewe kwa kutukuza ukoloni
 
Usichukulie hizi title za JF serious sana mkuu. Huwa ni maneno tu unakutana nalo huko.

Huwezi linganisha na Jina halisi ambalo ni utambulisho wako na wa jamii yako.
 
Kwani jina lako lina maana gani? Ni la kabila gani? I ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Shida ni kwamba si watu wengi wanaoona hilo kama kukumbatia ukoloni..
Yaani wazazi mkiwa wasukuma, mkapata mtoto mkamuita Manka, watu watawashangaa sana...lakini mtoto huyo huyo mkimpa jina Briana hakuna atakayeshangaa, sana sana watasifia jina zuri!!!
 
city owl ni jina la wapi mkuu
 
Jack Chan Bruce Lee hapo vipi si ya kizingu hayo
Usihadaike na hayo majina ya stage mkuu.

Bruce Lee's real Chinese name is Lee Jun-fan (ๆŽๆŒฏ่—ฉ). His family name is "Lee" (ๆŽ), and "Jun-fan" (ๆŒฏ่—ฉ) was given to him by his mother, meaning "return again," as she hoped he would return to Hong Kong, though he was born in San Francisco, USA.

Pia,

Jackie Chan's real Chinese name is Chan Kong-sang (ๆˆ้พ). The name "Kong-sang" (ๆธฏ็”Ÿ) means "born in Hong Kong," as he was born there in 1954. He later adopted the stage name "Jackie" while working in Australia, and "Chan" (ๆˆ) is his family name.

Tuna wachina hapa Bongo wanaitwa Michael au John.
Usidhani ni yao serious. Ni ya kuendania na mazingira tu. Hata kwenye vyeti vyao hayapo.
 
Waafrika wapo karibu na wazungu na waarabu genetically ndio maana wanakuwa rahisi kukopi utamaduni wa wazungu na waarabu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
We jamaa una utani!

Sasa mbona wao kwa wao hawakopiani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ