FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
My thoughts exactly..Hii inatusaidia nini zaidi ya kueneza ukabila mwanangu? Kesho tutaletewa ya kisukuma, kikurya na mengine mengi ya ajabu ajabu. Je, kwa taifa liliozika ukabila miaka ile inatusaidia nini? Hii ingefaa upeleke Kenya lakini si Tanzania.
Haaahaaahaahaaa..mkuu nikutest?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]KATERERO -nina maji mengi
Ndicho jina lilivyokuwa linamaanishaNilikuwa na demu wangu Uganda anaitwa Karungi ila jina lake halikuakisi uhalisia wa sura yake kabisa.
Ila alikuwa murungi kitandani.
Hahaha [emoji23][emoji23]Magufuli = Ngumi jiwe.
Timwina mageziwakola muno waitu tulinde abanyamaanga baije batujume bangi batutamwa muno
Byalugaba/byarugaba inamaanisha nini?1.Rugemarila - Anamaliza mwenyewe.
2.Byarugaba _ Yote kwa Mungu.
3.Tibaigana_ Watu hatulingani.
4.Tibaijuka_ Hawakumbuki.
5.Ruyemamu _ kujijari|
6.Mbatina_ kuogopa kufanya jambo/ Madhara.
7.Mshobozi _ kuchanganua mambo.|kuelewesha.
8.Rweyendera_ kujipenderea
9.Rwebugisa_(kujiongoza/kiongozi)
10.Mtaremwa_ Mshindi |ashindwagi /kutochoka
11.Komugisha_(kwa neema |baraka|zawadi)
12.Kokwija_( kuja/ujio)
13.Kalokora_(uokofu/okoa/saidia)
14.Kaijuka_(kumbuka/bila kusahau)
15.Bishanga_(ukomavu/ msimamo
16.Rweumbiza_( kujitetea)
17.Kokuabwa _(kupewa/kubarikiwa)
18.Karungi_(uzuri/mwonekano)
19.Kokushubila(Tumaini.)
20. Kokwenda.(kupenda/
21.Mtahaba (Mwongozaji) mwelekezaji/usikosee
22. Rwechungura (kujikomboa)
23.
...... imetayarishwa na Hemedyjrjunior a.k.a (kimodoMsafi) TUKUTANE kwa darasa lijalo
Mwakora Mno🙏
Vya Mungu muumbaByalugaba/byarugaba inamaanisha nini?
Yote ya mungu(Lugaba mungu /mtoaji)Byalugaba/byarugaba inamaanisha nini?
Asante sana una jibu zuri kama avatar yako kiukweli inasisimuaVya Mungu muumba
mtu kuandika majina ya kabla lake na maana yake ni ukabila? unajua maana ya ukabia?Acheni ukabira
Asante kwa kumpa elimumtu kuandika majina ya kabla lake na maana yake ni ukabila? unajua maana ya ukabia?
Basi nawewe unajiona umekemea ukabila😅😅😅.Hii inatusaidia nini zaidi ya kueneza ukabila mwanangu? Kesho tutaletewa ya kisukuma, kikurya na mengine mengi ya ajabu ajabu. Je, kwa taifa liliozika ukabila miaka ile inatusaidia nini? Hii ingefaa upeleke Kenya lakini si Tanzania.
Hii itakuwa product ya Omurushaka kwa neno hilo la mwisho 😄Waleta ebyo ekisino[emoji1787][emoji1787][emoji1787]