Majina ya Kihaya na maana zake


Katerero ni nn?
 
kokunura na kokugonza maana yake nin
 
Hii inatusaidia nini zaidi ya kueneza ukabila mwanangu? Kesho tutaletewa ya kisukuma, kikurya na mengine mengi ya ajabu ajabu. Je, kwa taifa liliozika ukabila miaka ile inatusaidia nini? Hii ingefaa upeleke Kenya lakini si Tanzania.
Ukabila upi?
 
Nyamizi..first daughter
Kasinde,kashinde -alitanguliza miguu..
Mwamvula... alizaliwa kipindi cha mvua..
Nyanzige... kipindi cha nzige..
Mkiwa, aliyezaliwa kipindi cha huzuni.haya tabora ndio kwao
 
Kumbe Jasiri muongoza njia ndipo alipopata jina hilo.
Rugemalira - anayetimiza mambo yake mwenyewe Kitenzi cha hilo neno ni kumaliza, mambo yake anamaliza yeye mwenyewe.
Mutahaba - asiyekosea njia.

Hakuna direct translation na Kiswahili kina maneno machache
 
Je Mwesigwa maana yake nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…