Majina ya Kihaya na maana zake

Asante sana nilikuwa natafuta jina la mtoto wa kiume imenisaidia sana. Barikiwa
 
Aisee kuna Eng mmoja namkubali sana anaitwa Mugishagwe ni mtu smart sana naomba kujua maana yake
 
Hii inatusaidia nini zaidi ya kueneza ukabila mwanangu? Kesho tutaletewa ya kisukuma, kikurya na mengine mengi ya ajabu ajabu. Je, kwa taifa liliozika ukabila miaka ile inatusaidia nini? Hii ingefaa upeleke Kenya lakini si Tanzania.
Aisee we jamaa ni bure kabisa, sasa majina Kama haya na ukabila wapi na wapi? Wewe huna Kabila au? Tanzania tuna mama ila hatuna ukabila Acha ushamba. Imenisaidia mimi nilikuwa natafuta jina la mtoto wa kiume na nimelipata we Nenda katumie ya kidhungu hakuna anayekukataza. Kwetu wengine imetusaidia sana. Text yako ndo imejaa ukabila ujirudi ndugu
 
Hii inatusaidia nini zaidi ya kueneza ukabila mwanangu? Kesho tutaletewa ya kisukuma, kikurya na mengine mengi ya ajabu ajabu. Je, kwa taifa liliozika ukabila miaka ile inatusaidia nini? Hii ingefaa upeleke Kenya lakini si Tanzania.
Identity ya makabila is here to stay. Wewe utakuwa na akili uchwara. Utaifa does not mean kuwa identity ya makabila ifutike. NEVER! Tutakuwa na Taifa letu Tanzania moja na wamoja, lkn mabila yetu yako pale pale with ideal identity

CCM utawajua, ujinga aliotulisha Nyerere kuwa makabila ya nini...yana maana sana as long as Tanzania ni moja bila influence ya makabila. Nikienda uhayani , pale ni kihaya nitakitukuza like wise Mkuyrya, msukuma, mmakonde, myao etc etc
 
Mutahangarwa- musiwe na wasiwasi

Byonabusha.- all is nothing except God

Ndibalema - Watishandana Ila ntawashinda.

Kabyemela-

Rwezaula-

Rwegasira-

Rukiza-

Kalumuna -

Bashungwa -
 
Atupakisye je?
 
Hii inatusaidia nini zaidi ya kueneza ukabila mwanangu? Kesho tutaletewa ya kisukuma, kikurya na mengine mengi ya ajabu ajabu. Je, kwa taifa liliozika ukabila miaka ile inatusaidia nini? Hii ingefaa upeleke Kenya lakini si Tanzania.
Uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo sana.

Kiini cha mada ni kutoa elimu na kuongeza ufahamu/uelewa kuhusu majina ya kihaya ambayo unaweza kukutana nayo au kuyasikia kwa wale wasioyajua.

Hayo ya ukabila ni yako.
 
Hii iko na maana gani maana mda wenyewe Sina wa kuweka kichwanaai Wacha tuishi umo
 
Mutahangarwa- musiwe na wasiwasi

Byonabusha.- all is nothing except God

Ndibalema - Watishandana Ila ntawashinda.

Kabyemela-

Rwezaula-

Rwegasira-

Rukiza-

Kalumuna -

Bashungwa -
Mtani nitafutie maana ya majina haya:
Bushaijabwe, Rutashubaenyuma, Bugaisa,
 
Lugano sio kinyakyusa
 
Rugaihuruza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…