Na kweli ungepata cheo kikubwa ungepata wapi muda kunywa pombe mchana, bora ku keep low profile unakuwa huru kujiachia utakavyo bila kuhofia mapaparaziππ
John ni jina lenye watu wengi. Yaani watu wanaoitwa John ni wengi sana. Hiyo ndo inafanya akina John watokee sana sehem mbali mbali sio kwenye siasa tu.