Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndg jina mwameja Linatokana na jina Mwamwaja mwenye asili ya uko masoko aliehamia Tanga wenyeji wa huko wakashindwa kutamka Mwamwaja na kutamka mwameja.Vipi kuhusu Mwameja?
Andondile,.......
Asagwile,.....
Ambonise/Ambonisye,...
Anyandwile,...
Andongolile,....
Maana tafadhali.
Tulibhako-TuwakoTuntufye=
Tulibako=
Gujikasyege=
Mwakifulefule=
Mwakyusa=
Nsubisi=
Tupokigwe=
Mwasumbi=
Bwana Yesu atarudi (...... Isakwisa)ISAKWISA
Duh! Ameniroga tena?Angalizo: neno moja la Kinyakyusa linawezakuwa na maana tofauti kulinfana na unavyolitamka. Ukilivuta neno huleta maana tofauti na ukilitamka kwa haraka. Mfano Anyagile inawezakuwa AMENIPTA ukilivuta (Anyaagile) au AMENIROGA (Aanyagile) au AMEROGA (Anyagile)
Umeona tafsiri ya majina ya Kinyakyusa Hajar? Yaani raha sana maana ni baraka, furaha, upendo ,mapenzi, ,unipe ,usinitose, nakupenda, unipende, tupendane, usininyime, nibebe, na mengine mengi ambayo mleta uzi hajayaandikaRafiki Alinanuswe je?
Mwasakafyuka je?Yuko pamoja na sisi
Hard stone I thinkHivi magufuli maana yake nini
Hahaaa. Lol.Umeona tafsiri ya majina ya Kinyakyusa Hajar? Yaani raha sana maana ni baraka, furaha, upendo ,mapenzi, ,unipe ,usinitose, nakupenda, unipende, tupendane, usininyime, nibebe, na mengine mengi ambayo mleta uzi hajayaandika
Hebu na wewe tuletee majina ya kabila lenu na maana zake tukianza na Hajar
Sawa mi hawa wanyakyusa ni majirani zangu
Huwa baadhi ya maneno tunatamka sawa
Andondile..amenitafutaAndondile,.......
Asagwile,.....
Ambonise/Ambonisye,...
Anyandwile,...
Andongolile,....
Maana tafadhali.
AmenikumbukaAngumbwike[emoji23][emoji23]
Tuntufye....tumtukuzeTuntufye=
Tulibako=
Gujikasyege=
Mwakifulefule=
Mwakyusa=
Nsubisi=
Tupokigwe=
Mwasumbi=
Hawa wote ni ndugu utofauti wao waliachana njia panda mmoja kapita shortcut mwingine kapita njia ndefu zaidiKuna tofauti gani kati ya Wandali na Wanyakyusa? Majina yenu mengi sana ni sawa. Hata lugha zenu zinafanana sana. Kuna tofauti gani kati ya Kindali na Kinyakyusa? Wandali siyo Wanyakyusa?
Hamna asili moja kutoka Mahenge au sehemu za Morogoro? Kuna Wanyakyusa ambao ni "Lugulu" kwa sababu ya asili yao. Ni ndugu na Waluguru wa Morogoro pamoja na Wapogoro.
MAJINA YA KINYAKYUSA NA MAANA YAKE.
LUSAKO. BAHATI
LUSAJO. BARAKA
LUGHANO. UPENDO
LUTENGANO. AMANI
LUSEKELO. FURAHA
LUSUBILO. TUMAINI
TUPOKIGWE. TUMEOKOLEWA
TUPOKE. TUOKOE
MPELI. MUUMBA
NTULI. MSAIDIZI
NTOLI. MSHINDI
MPOKI. MUOKOZI
MBUTOLWE. SHIDA
KISSA. HURUMA
ULIMBOKA. NIOKOE
ANDINDILILE. AMENILINDA
ASUMILE. ALIOMBA
ANGANILE. ANANIPENDA
ATUGANILE. ANATUPENDA
ATUFIGWEGE. ASIFIWE
ANYISISILE. AMENIJIA
AFWILILE. ALINIFIA
AHOBOKIILE. AMENISAMEHE
ASAJILE. AMENIBARIKI
ANYOSISYE. AMENIBATIZA
ANYELWISYE. AMENITAKASA
NDIMBUMI. NIPO UZIMANI
NDIMBWELU. NIPO KWENYE NURU
ATUPELE. AMETUPA
TUMPALE. TUMSIFU
NELUSIGWE. NIMEBATIZWA
NTUFYE. MSIFU
GWANTWA. MWANA/ MTU WA MUNGU
GWAKISA. MWENYE HURUMA
GWAMAKA. MWENYE NGUVU
GWANDUMI. MALAIKA
TISEKIILE. TUMEFURAHI
SEKELA FURAHI
IPYANA. HEKIMA
ATUPAKISYE. ANATUJALI
USWEGE. UNISAMEHE
ANDONGWISYE. AMENIONGOZA
AMBWENE. AMENIONA
GWALUGANO. MWENYE UPNDO
MJE MASO. MUWE MACHO
NEGWAKO. NI WAKO
ANDWELE. AMENILETA
ANDOBWISYE. AMENIVUSHA
TUSAJIGWE. TUMEBARIKIWA
LUTUFYO SIFA
ANGUMBWIKE. AMENIKUMBUKA
AMBILIKILE. AMENISIKILIZA
AMBINDWILE. AMENIBADILI
AMBELE. AMENIPA
AMANYISYE. AMENIFUNDISHA
AMULIKE. AMENIANGAZA
LUMULI NURU
LUBATIKO. UTARATIBU
SUBILAGA. TUMAINIA
ANGETILE. AMENITAZAMA
ANDONDILE AMENITAFUTA
ANGANILE. ANANIPENDA
ANGOLWISYE. AMENINYOSHA
ANDOGWISYE. AMENIONGOZA
NSAJIGWA MBARIKIWA
NKUNDWE. MPENDWA.
HAYA NI BAADHI YA MAJINA YA KINYAKYUSA NA MAANA YAKE, ASILIMIA KUBWA YA MAJINA HAYA YAMEBEBA SIFA NA UTUKUFU WA MUNGU, PENDA MAJINA YA ASILI YAKO USIWE MTUMWA WA MILELE.
ULIZA JINA UNALOLIJUA LAKINI HUJALIONA HAPO WANAOFAHAMU MAANA YAKE WATAKUJA KUKUJIBU.
NAKUTAKIA SIKU NJEMA MTU WA MUNGU