Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaaa. Usijali ndugu nilivyoona ndaga tu nikajua hiyo ni salamu.Hapana ndugu tunasalimiana tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa. Usijali ndugu nilivyoona ndaga tu nikajua hiyo ni salamu.Hapana ndugu tunasalimiana tu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hahaaa. Ntakaribia siku moja aisee.
Umekalili ndagaHahaaa. Usijali ndugu nilivyoona ndaga tu nikajua hiyo ni salamu.
Ndio ndaga fijo. Sijui ina maana gani hapo?Umekalili ndaga
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ndaga ni asanteNdio ndaga fijo. Sijui ina maana gani hapo?
Mwakatrampu=?
Ooh. Basi na mie nasema ndaga fijo kwa kunipa maana.Ndaga ni asante
Fijo sana
asanteOoh. Basi na mie nasema ndaga fijo kwa kunipa maana.
Shukrani.
Yuko pamoja na sisi
Tuntufye=
Tulibako=
Gujikasyege=
Mwakifulefule=
Mwakyusa=
Nsubisi=
Tupokigwe=
Mwasumbi=
Mwambile, Mwakalinga, Mwakisunga, Mwakisopile.
Maana yake mheshimiwa tafadhali.
Majina mengi yanayoanza mwa ni majina ya ukoo.mfano mwakalinga,mwandosya,mwakyusa n.k mengi ya majina haya maana yake imepotea kwani yalikuwa miongoni mwa maneno ya kikonde(kingonde,kisokile)cha kale sana na maneno hayo kwa sasa hatumiki tena.
mwa-kyusa jina hapo ni Kyusa "mwa" ni kiambishi awali kinachotambusha jinsi ya mwenye hill Nina kuwa in mwanaume.akiwa mwanamke basi mwa huondolewa na kubaki kyusa kama jina in mwakyusa.mwanaume ataitwa mwakyusa na mwanamke kyusa.