Majina ya Kinyakyusa na maana zake, twenzetu hapa

Majina ya Kinyakyusa na maana zake, twenzetu hapa

Andondile,.......
Asagwile,.....
Ambonise/Ambonisye,...
Anyandwile,...
Andongolile,....

Maana tafadhali.
 
Majina mengi yanayoanza mwa ni majina ya ukoo.mfano mwakalinga,mwandosya,mwakyusa n.k mengi ya majina haya maana yake imepotea kwani yalikuwa miongoni mwa maneno ya kikonde(kingonde,kisokile)cha kale sana na maneno hayo kwa sasa hatumiki tena.
mwa-kyusa jina hapo ni Kyusa "mwa" ni kiambishi awali kinachotambusha jinsi ya mwenye hill Nina kuwa in mwanaume.akiwa mwanamke basi mwa huondolewa na kubaki kyusa kama jina in mwakyusa.mwanaume ataitwa mwakyusa na mwanamke kyusa.
Mwambile, Mwakalinga, Mwakisunga, Mwakisopile.

Maana yake mheshimiwa tafadhali.
 
Majina mengi yanayoanza mwa ni majina ya ukoo.mfano mwakalinga,mwandosya,mwakyusa n.k mengi ya majina haya maana yake imepotea kwani yalikuwa miongoni mwa maneno ya kikonde(kingonde,kisokile)cha kale sana na maneno hayo kwa sasa hatumiki tena.
mwa-kyusa jina hapo ni Kyusa "mwa" ni kiambishi awali kinachotambusha jinsi ya mwenye hill Nina kuwa in mwanaume.akiwa mwanamke basi mwa huondolewa na kubaki kyusa kama jina in mwakyusa.mwanaume ataitwa mwakyusa na mwanamke kyusa.

Unajua babu yangu ni chotara kiaina( mbantu mu'asia) anajina la Kinyakyusa la kiukoo. Alifika mkoa mmoja alioa na akazaa watoto watatu hivi na mmoja wao ndio kamzaa mzee wangu. Alipooa huko hakufanikiwa kuwapeleka watoto wake kwa ukoo wake. Bibi akiulizwa anasema babu yenu Mkuu alitoka(anataja mikoa miwili mmoja wapo Mbeya). Jina laa ukoo ndio moja lipo hapo juu.

Ngoja niendelee kutafuta ukoo wangu kwani tupo wachache hata 45 watu. Ikishindikana tutaanzisha Clan yetu wenyewe.

Na ahsante kwa maelezo mazuri. Jioni njema.
 
Back
Top Bottom