Majina ya Kinyakyusa na maana zake, twenzetu hapa

Duh! Ameniroga tena?
 
Rafiki Alinanuswe je?
Umeona tafsiri ya majina ya Kinyakyusa Hajar? Yaani raha sana maana ni baraka, furaha, upendo ,mapenzi, ,unipe ,usinitose, nakupenda, unipende, tupendane, usininyime, nibebe, na mengine mengi ambayo mleta uzi hajayaandika

Hebu na wewe tuletee majina ya kabila lenu na maana zake tukianza na Hajar
 
Hahaaa. Lol.

Ngoja nikayaandae majina ya kabila langu nikuletee Sesten. Hahaaa.
 
Sawa mi hawa wanyakyusa ni majirani zangu

Huwa baadhi ya maneno tunatamka sawa

Kuna tofauti gani kati ya Wandali na Wanyakyusa? Majina yenu mengi sana ni sawa. Hata lugha zenu zinafanana sana. Kuna tofauti gani kati ya Kindali na Kinyakyusa? Wandali siyo Wanyakyusa?

Hamna asili moja kutoka Mahenge au sehemu za Morogoro? Kuna Wanyakyusa ambao ni "Lugulu" kwa sababu ya asili yao. Ni ndugu na Waluguru wa Morogoro pamoja na Wapogoro.
 
Hawa wote ni ndugu utofauti wao waliachana njia panda mmoja kapita shortcut mwingine kapita njia ndefu zaidi

Kwenye lugha ni tofauti japo baadha ya maneno huwa yanaingiliana
 
Amen
 
Sawa mkuu naomba kufahamu maana ya majina haya vilevile: Asukile,Mwakibinga,Mwakasege na Mwabulambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…