LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Yapo majina ya kizungu na kiarabu ambayo yanatumiwa na kuhusudiwa sana na baadhi ya makabila ya kitanzania kiasi kwamba sasa yanaonekana kama ni majina ya makabila hayo.
Baadhi ya majina hayo ni pamoja na:
1. John: Wasukuma. Wasukuma wanalipenda sana hili jina. Ukikutana na mtanzania anaeitwa John basi most of the time atakuwa ni msukuma. Akina " John Msukuma" wapo wengi sana mitaani.
2. Erasto: Wachaga; Unaweza kudhani Erasto ni jina la kichaga kwa namna ambavyo wachaga wanalipenda jina hili.
3. Raphael: Wachaga: Uchagani kuna hadi "ukoo wa Raphael" if am not mistaken.
4. Bilal: Waha
5. Cyprian: Wajita
6. Wlibroad: Wambulu/ Wairaq.
7. Respicius na majina yote yanayoishia na " us ": Wahaya.
8. Feisal: Wapemba.
9. Anzuruni: Waha.
10: Rasul: Waha.
11. Fatuma: Waha.
12. Hamisi: Wasukuma (Hili jina wasukuma wanalitumia wote wakristo kwa waislamu)
13. Shabani: Wasukuma (wanalitumia wakristo kwa waislamu)
14. Veronika: Wasukuma.
15. Rahel (Not Rachel): Wasukuma.
16. Rhoda : Wasukuma.
17. Ruthu : Wasukuma.
18.
19.
20.
10000.