Majina ya Kizungu na Kiarabu ambayo yamekuwa "Africanized" na kupata hadhi ya kuwa majina ya Kiafrika

Majina ya Kizungu na Kiarabu ambayo yamekuwa "Africanized" na kupata hadhi ya kuwa majina ya Kiafrika

Dah, kwa wasukuma umepatia kweli hayo majina [emoji2][emoji2][emoji2].

Mimi ilinipa shida sana kujua kuhusu majina ya Juma na Hamisi.

Pia umesahau jina la Juma_ kwa wasukuma.
 
Dah, kwa wasukuma umepatia kweli hayo majina [emoji2][emoji2][emoji2].

Mimi ilinipa shida sana kujua kuhusu majina ya Juma na Hamisi.

Pia umesahau jina la Juma_ kwa wasukuma.
Juma, HAMISi, Asha, Maria, Susana, Raheli, Naomi, James, ZABRONI, Abudala, Shaban hayo ni baadhi tu ya Majina yanayotumiwa usukumani bila mipaka ya udini yaani awe mkiristo, mwislamu , mpagani, mchunga ng'ombe nk wanatumia
 
Kweli kabisa ulichokisema!
 
sioni ukweli kwa majina haya mfano feisal wewe ulimuona yule mchezaji wa yanga katokea zanzibar ukafikiri jina hilo lipo zanzibar kaa ukijua feisal ni majina yametapakaa kila nchi na wengi zaidi wenye majina feisal ni saudi arabia yemen emirates kwa tanzania wengi wanatokea mwanza wenye majina ya faisal maana mwanza wapo wengi warabu wapemba majina yao ni masauni modi haruna harub dulla kiringo
 
18. Wapemba na Seif/Said/Saleh/Salum/Ali /Ahmed
Ukiwakuta wapemba 10 hamna mwenye jina mojawapo hapo nakupa hela

19. Wagogo na Samwel/Elias
hayo ni majina pendwa ukanda wa Pwani wote kwa ujumla wale Kuanzia Tanga, Pemba, Mafia, DSM, Mtwara, Lindi na baadhi ya Maeneo kama Morogoro, Kilosa, Kondoa na baadhi ya maeneo ya Tabora!
 
Majina maarufu ya kiha ni:
Siwema
Kabwe
Mrisho
Mashaka
Zuwena
Mwanaidi
Stela
Musa
Majina ya kinyamwezi
Mrisho
Nassoro
Saidi
Anzuruni
Sadiki
Mariamu
Maimuna
Zena
Jafari
Neema
Mgeni nk
 
Back
Top Bottom