Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sijakuelewa una maana jina la John kama limependwa sana na Wasukuma leo linaonekana kama jina la Kisukuma???!!! Au Raphael linaonekana jina la Kichaga??!!! Sijajua mantiki ya uzi huu ni nini haswa!!!!! Unataka kusema nini Mkuu inawezekana una hoja ya maana sana lakini imefichika.Yapo majina ya kizungu na kiarabu ambayo yanatumiwa na kuhusudiwa sana na baadhi ya makabila ya kitanzania kiasi kwamba sasa yanaonekana kama ni majina ya makabila hayo.
Baadhi ya majina hayo ni pamoja na :
1. John : Wasukuma. Wasukuma wanalipenda sana hili jina. Ukikutana na mtanzania anaeitwa John basi most of the time atakuwa ni msukuma. Akina " John Msukuma" wapo wengi sana mitaani.
2. Erasto :Wachaga ; Unaweza kudhani Erasto ni jina la kichaga kwa namna ambavyo wachaga wanalipenda jina hili.
3. Raphael: Wachaga:Uchagani kuna hadi " ukoo wa Raphael "if am not mistaken.
4. Bilal : Waha
5. Cyprian : Wajita
6. Wlibroad : Wambulu/ Wairaq.
7. Respicius na majina yote yanayoishia na " us " : Wahaya.
8. Feisal: Wapemba.
9. Anzuruni : Waha.
10: Rasul : Waha.
11. Fatuma : Waha.
12. Hamisi : Wasukuma ( Hili jina wasukuma wanalitumia wote wakristo kwa waislamu )
13. Shabani: Wasukuma ( wanalitumia wakristo kwa waislamu )
14. Veronika : Wasukuma.
15. Rahel ( Not Rachel ): Wasukuma.
16. Rhoda : Wasukuma.
17.Ruthu : Wasukuma.
18.
19.
20.
10000.
Wao wanaita RafaeliRaphael limeshakuwa jjna la kichaga siku hizi
Mule muleLiberatus, Renatus, Benatus,Methodus.
Wanyamwezi: Mrisho
[emoji23][emoji23][emoji23] baba yangu wafanya kazi wake wanamwita Patel kwa sababu anapenda kutuma tuma hovyo........ Proudly chaggaPatel=chagga
Juma=nyaturu
kuna kabila linapenda kutumia jina la Abdi huwezi kuwakuta 5 bila kukosa jina la AbdiAbdalla/ Dulla usukumani wapo kibao tena wengine si waislam wala wakristu hata,au wakristu wengi tu wanaitwa hivyo pamoja na Selemani, Ibrahim/IBRA, Hamza usukumani yanatumika kama majina ya kilugha tu sijui walitoka wapi na hayo majina
Hahahaaaa mekiii(melchiory)Na Melchior
Hapa mkuu umenikumbusha yule mwanafunzi "Sperius Eradius" na mwl wake "Respicius Mutazangira"....... Sijui wahaya wana nn kwenye haya majina aseeAisee namba 7 hujakosea kabisaaa....Remigius, Eliphius, Ruticus, Speratus[emoji23][emoji23]sijui kuna siri gani na hayo majina
Huko huko kwa shangazi wa taifaMakame ni majina ya wapi?
Yapo majina ya kizungu na kiarabu ambayo yanatumiwa na kuhusudiwa sana na baadhi ya makabila ya kitanzania kiasi kwamba sasa yanaonekana kama ni majina ya makabila hayo.