Majina ya Kizungu na Kiarabu ambayo yamekuwa "Africanized" na kupata hadhi ya kuwa majina ya Kiafrika

Majina ya Kizungu na Kiarabu ambayo yamekuwa "Africanized" na kupata hadhi ya kuwa majina ya Kiafrika

No. 3 yule Erasto Nyoni nae ni mchaga? Naomba kuuliza tu.
No. 13 hata Waluguru pia
 
Mtwara makabila yote hukosi AMINA, ASHA, HAMISI, MWAMEDI [emoji23], SALIMA, JEMA, MKAPA, ULEDI, SELEMANI,
 
Enock -- wahehe
Ester - wachaga
Angel - wachaga/wapare
Josephina - wamakua
Jumanne - wazanaki/wakurya

Halafu pia kuna yale majina local ambayo ukilitaja kwenye kadamnasi lazima watu wa3 wageuke
 
Mtwara makabila yote hukosi AMINA, ASHA, HAMISI, MWAMEDI [emoji23], SALIMA, JEMA, MKAPA, ULEDI, SELEMANI,
Wanawake - mwanajuma/marsella/fatuma/mwanaisha/mwanakombo /aisha yani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
George&Kennedy -wajaluo
Jesca -wakerewe
Antidius-wahaya ,
Juma-wasukuma
Alicia haya
Umeandka ukwel kabsa
 
George&Kennedy -wajaluo
Jesca -wakerewe
Antidius-wahaya ,
Juma-wasukuma
Alicia haya
Umeandka ukwel kabsa

Hapo kwa George na Kennedy nakubaliana na wewe kabisa
 
Back
Top Bottom