Majina ya Kizungu na Kiarabu ambayo yamekuwa "Africanized" na kupata hadhi ya kuwa majina ya Kiafrika

Majina ya Kizungu na Kiarabu ambayo yamekuwa "Africanized" na kupata hadhi ya kuwa majina ya Kiafrika

Wachagga na jina Emanueli(Manuu), Paulo zakaria, zakayo

Wa-Arusha na
Zabron, Lazaro, Eliasi
 
Simon matayo Peter eliya epiphania tabu ester Selina Wambulu(wairaq)
 
Majina ya kisukuma ambayo yamekuwa swahilinized ni kulwa na doto au doyi...wengne wameyachomekea kauzungu na kujiita eti Dotto.
 
Koba
Fuko
Tembo
Luwango
Makajura
Kunambi
Mtimi
Kilongora
Mbana
Mponda
Kondo
 
Wakerewe >
Jesca ,avelina ,adventina ,yustina ,advela la kukazia veronika ,edina n pie kiume> jovin ,Jose, Jackson , Godfrey, Christopher (pie),Justus ,
Wajita , Cyprian hapo penyewe , Josiah , James , sulus ,silas, benedict , kike> Bertha ,Janet , happy ,verediana, >
Wahaya weka ...us umemaliza , adeliphinus ,albinus , egidius ,
Wanyakusa mbeya sema tu jina lolote kwenye bible kwisa,
 
Back
Top Bottom