Majina ya Kizungu na Kiarabu ambayo yamekuwa "Africanized" na kupata hadhi ya kuwa majina ya Kiafrika

Aisee namba 7 hujakosea kabisaaa....Remigius, Eliphius, Ruticus, Speratus[emoji23][emoji23]sijui kuna siri gani na hayo majina
 
Mkuu sijakuelewa una maana jina la John kama limependwa sana na Wasukuma leo linaonekana kama jina la Kisukuma???!!! Au Raphael linaonekana jina la Kichaga??!!! Sijajua mantiki ya uzi huu ni nini haswa!!!!! Unataka kusema nini Mkuu inawezekana una hoja ya maana sana lakini imefichika.
 
Aisee namba 7 hujakosea kabisaaa....Remigius, Eliphius, Ruticus, Speratus[emoji23][emoji23]sijui kuna siri gani na hayo majina
Liberatus, Renatus, Benatus,Methodus.
 
Abdalla/ Dulla usukumani wapo kibao tena wengine si waislam wala wakristu hata,au wakristu wengi tu wanaitwa hivyo pamoja na Selemani, Ibrahim/IBRA, Hamza usukumani yanatumika kama majina ya kilugha tu sijui walitoka wapi na hayo majina
kuna kabila linapenda kutumia jina la Abdi huwezi kuwakuta 5 bila kukosa jina la Abdi
 
Aisee namba 7 hujakosea kabisaaa....Remigius, Eliphius, Ruticus, Speratus[emoji23][emoji23]sijui kuna siri gani na hayo majina
Hapa mkuu umenikumbusha yule mwanafunzi "Sperius Eradius" na mwl wake "Respicius Mutazangira"....... Sijui wahaya wana nn kwenye haya majina asee
 
Msimbe,Kibena,Bang'ala,Mkude,Mwenda,.Bora waluguru hawataki gozi gozi.
 
Huu uzi umewagusa wanangu kama watatu basi nikasema inatosha huu uzi upitishwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…