Wamasai na Lazaro huwawezi wenyewe huita LasaroWamasai tupo na Edward
Wanyamwezi: Mrisho
Rasul = Wapare
Duuuuh basi kituo kimedumu mpaka leo hiiAlianzisha baba kile kituo
Wameru ni MaxElisha - Wameru
Sure kumbe unawajuaNa
Na Maulid
[emoji16][emoji16][emoji16] kuna lipumba mmoja tuu bossLipumba- wanyamwezi
18. Wapemba na Seif/Said/Saleh/Salum/Ali /Ahmed
Ukiwakuta wapemba 10 hamna mwenye jina mojawapo hapo nakupa hela
19. Wagogo na Samwel/Elias
Wanawake - mwanajuma/marsella/fatuma/mwanaisha/mwanakombo /aisha yani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtwara makabila yote hukosi AMINA, ASHA, HAMISI, MWAMEDI [emoji23], SALIMA, JEMA, MKAPA, ULEDI, SELEMANI,
Wapare kwa kulitumia Mwanaidi siwawezi
FakhiJina kuu la waPemba ni "Makame"