Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,828
WameshaanzaHawakawii kusema ushindwe ktk jina la yesu, n pepo tu anakusumbua kupotosha watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WameshaanzaHawakawii kusema ushindwe ktk jina la yesu, n pepo tu anakusumbua kupotosha watu
Nimecheka sana hiyo[emoji115] [emoji115] line ya mwisho (manabii uchwara)wasabato Masalia
Ngurumo ya upako
The pool of sloam
Manabii uchwara wote ..........zote za waafrica
Hehehe sasa nyie mnaenda kufata burudani tu[emoji134]Swadakta Princess J
Hapa kwetu kuna mdau kaanzisha kanisa la kuitwa Obadia tuselebuke church
Waumini wengi ni wanamama wa kigogo
Si unajua wanawake wa kigogo walivyopokea neema ndogondogo za Allah?
Basi huwa tuna enjoy sana masomo ya Jioni
Na aliyewaruhusu wanawake wahubiri ni nani?
Maana juzijuzi nimepitia kanisa moja hivi hapa uswazi,nilichokiona sijaamini
Binti na sketi yake fupi yenye mpasuo,naye yupo madhabahuni anatoa soma.Lol
Mkuu na wewe anzisha tu ibada za kuabudu mizimwi ili na wewe mtu mweusi uwe muanzilishi.Hizi dini hakuna mweusi hata mmoja mwanzilishi ila zinawaumini weusi wengi.
Na sababu ni kwamba zinasambazwa kwa juhudi na wahusika.
Biashara tu.
Wazungu kwenye hii hila walituweza.
Walipambana kvp mkuu?kulikuwa na mapambano kati ya hizo dini za kuja na hizo jadi?walipambana dini ya weusi (jadi) itokomee kabisa
Hiyo tabia ipo sana Marekani. Karibu kila Mtaa wana kanisa lao na waumini wake.
Wanapenda uhuru wa kuitafsiri biblia wanavyopenda na Marekani upo huru kuabudu unavyopenda.
Serikali na Dini zimetengana. Ndiyo maana, ukifunga ndoa, lazima uende kuandikisha bomani. Jaji au "justice of the peace" anapiga saini, ndoa inakuwa halali. Hamna nafasi ya saini ya Askofu wala Shehe katika certificate.
Niongeze, Shehe au Askofu anaweza kuozesha lakini sharti awe na leseni ya kuozesha siyo tu aozeshe kama mtu wa dini.
Hii nzuri sana ingekuja na huku coz huku mtu akijisikia kuacha hapa akaoe pale anaenda tuu...Mkono wa Serikali upo mbali. Tungetakiwa kupata vibali viwili vya ndoa...Serikali na Dini...
Vyeti vya ndoa vinatolewa na Jamuhuri ya Tanzania na vinatambua mume mmoja kwa mke mmoja.Hii nzuri sana ingekuja na huku coz huku mtu akijisikia kuacha hapa akaoe pale anaenda tuu...Mkono wa Serikali upo mbali. Tungetakiwa kupata vibali viwili vya ndoa...Serikali na Dini...
Kuna research inasema zaidi ya nusu ya watu wa Somalia, Afghanistan, Pakistan na hizo nchi watu wake wana aina fulani ya mtindio ubongo sababu ya kuoana ndugu kwa ndugu(incest) for years, I think that explains it all ukiangalia mambo yaoUtamaduni, historia na mila ni tofauti. Hatuwezi kuwa sawa, Mkuu.
Kitu ningependa kuona ni kupimwa damu kabla ya kuoana. Kama daktari akiona matatizo, serikali haitoi kibali.
Kuna dini au mila kwetu ambapo unaweza kuoa binamu (first cousin), kitu ambacho hawaruhusu huko, kwa sababu ya matatizo ya "genetics".
Kuna research inasema zaidi ya nusu ya watu wa Somalia, Afghanistan, Pakistan na hizo nchi watu wake wana aina fulani ya mtindio ubongo sababu ya kuoana ndugu kwa ndugu(incest) for years, I think that explains it all ukiangalia mambo yao
Vyeti vya ndoa vinatolewa na Jamuhuri ya Tanzania na vinatambua mume mmoja kwa mke mmoja.
hapo kwenye red; Hakuna dini ya Roma wala Hakuna kitu kinaitwa Roman Catholic...Ila neno Roman lilipachikwa na Anglican kipindi walipojitenga na kanisa katoliki...
naendelea kusoma maana nimeanza kusoma tuu nikakutana na makosa kibao..
Mbona Umesahahu na Muslim wale Muhamadiya Jina asili na Mtume Wao..
Wahabism
Sunni
Shia
Takfiri
Ansal Sunni
Bohora
Ritz
Hata kahtaan naye anawafuasi wake humu... japo yeye mwenyewe hajujui kama Sunni au Shia
Ila vinaruhusu uwezekano wa kuoa wake zaidiVyeti vya ndoa vinatolewa na Jamuhuri ya Tanzania na vinatambua mume mmoja kwa mke mmoja.
Huu utamaduni ni hatari sana. Ukiangalia maeneo wanaouendeleza huku kwetu utaona pattern fulani zinazofanana sawa na za huko uarabuni au maeneo mengineSina data lakini ninawafahamu watu wengi wameoa binamu zao Tanzania, Kenya na Uarabuni.
Huu utamaduni ni kweli hatari kwa afya ya mtoto.
Kuna mmoja ameoa mke, baba zao ndugu, mama zao ndugu. Watoto wote wamezaliwa na afya duni na vichwa vikubwa kupita kiasi.
Sifahamu kama wanaoa/wanaolewa kwa idhini yao au wanalazimishwa/wanapangiwa na wazazi wao.
Elimu duni inahusika sana hapa.
Kikundi kidogo cha watu waliotafuta ukweli kilianza kujifunza Biblia huko Allegheny Pennsylvania Marekani katika miaka ya 1870.Mambo waliyojifunza yaliwafanya wajitenge na makanisa makubwa.Mashahidi wa Yehova nao vp?