Majina ya Madhehebu Kuendana na Asili/Waasisi Wake

Hehehe sasa nyie mnaenda kufata burudani tu[emoji134]
Mipasuo hiyo ndo inayowakusanya hapo[emoji4] [emoji4]
 
Hizi dini hakuna mweusi hata mmoja mwanzilishi ila zinawaumini weusi wengi.
Na sababu ni kwamba zinasambazwa kwa juhudi na wahusika.
Biashara tu.

Wazungu kwenye hii hila walituweza.
Mkuu na wewe anzisha tu ibada za kuabudu mizimwi ili na wewe mtu mweusi uwe muanzilishi.
 
Hii nzuri sana ingekuja na huku coz huku mtu akijisikia kuacha hapa akaoe pale anaenda tuu...Mkono wa Serikali upo mbali. Tungetakiwa kupata vibali viwili vya ndoa...Serikali na Dini...
 
Hii nzuri sana ingekuja na huku coz huku mtu akijisikia kuacha hapa akaoe pale anaenda tuu...Mkono wa Serikali upo mbali. Tungetakiwa kupata vibali viwili vya ndoa...Serikali na Dini...

Utamaduni, historia na mila ni tofauti. Hatuwezi kuwa sawa, Mkuu.

Kitu ningependa kuona ni kupimwa damu kabla ya kuoana. Kama daktari akiona matatizo, serikali haitoi kibali.

Kuna dini au mila kwetu ambapo unaweza kuoa binamu (first cousin), kitu ambacho hawaruhusu huko, kwa sababu ya matatizo ya "genetics".
 
Hii nzuri sana ingekuja na huku coz huku mtu akijisikia kuacha hapa akaoe pale anaenda tuu...Mkono wa Serikali upo mbali. Tungetakiwa kupata vibali viwili vya ndoa...Serikali na Dini...
Vyeti vya ndoa vinatolewa na Jamuhuri ya Tanzania na vinatambua mume mmoja kwa mke mmoja.
 
Kuna research inasema zaidi ya nusu ya watu wa Somalia, Afghanistan, Pakistan na hizo nchi watu wake wana aina fulani ya mtindio ubongo sababu ya kuoana ndugu kwa ndugu(incest) for years, I think that explains it all ukiangalia mambo yao
 
Sina data lakini ninawafahamu watu wengi wameoa binamu zao Tanzania, Kenya na Uarabuni.

Huu utamaduni ni kweli hatari kwa afya ya mtoto.

Kuna mmoja ameoa mke, baba zao ndugu, mama zao ndugu. Watoto wote wamezaliwa na afya duni na vichwa vikubwa kupita kiasi.

Sifahamu kama wanaoa/wanaolewa kwa idhini yao au wanalazimishwa/wanapangiwa na wazazi wao.

Elimu duni inahusika sana hapa.
 
Vyeti vya ndoa vinatolewa na Jamuhuri ya Tanzania na vinatambua mume mmoja kwa mke mmoja.

Mkuu, Je na wale wenye wake zaidi ya mmoja?

Dini na mila mbalimbali Tanzania zinaruhusu.

Wake zao si wanatambulika na sheria za ndoa ya Tanzania?
 
Mbona Umesahahu na Muslim wale Muhamadiya Jina asili na Mtume Wao..

Wahabism

Sunni

Shia

Takfiri

Ansal Sunni

Bohora

Ritz

Hata kahtaan naye anawafuasi wake humu... japo yeye mwenyewe hajujui kama Sunni au Shia
 
hapo kwenye red; Hakuna dini ya Roma wala Hakuna kitu kinaitwa Roman Catholic...Ila neno Roman lilipachikwa na Anglican kipindi walipojitenga na kanisa katoliki...

naendelea kusoma maana nimeanza kusoma tuu nikakutana na makosa kibao..
 
Mbona Umesahahu na Muslim wale Muhamadiya Jina asili na Mtume Wao..

Wahabism

Sunni

Shia

Takfiri

Ansal Sunni

Bohora

Ritz

Hata kahtaan naye anawafuasi wake humu... japo yeye mwenyewe hajujui kama Sunni au Shia

Kuoa zaidi ya Mke mmoja haipo kwenye dini ya Kiislamu tu.
Utaikuta kwenye utamaduni wa Kiiafrika. Machifu wengi wa Kiiafrika huko Afrika Kusini lazima waoe wake wengi, pamoja na Mfalme Mswati na Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma.

Hata ulaya, familia za kifalme zilikuwa zinaoe wake wengi na ndugu wa karibu. Kwa mfano, Mfalme Henry VIII alioa wake sita.
 
Mkuu ni uelekeo wa kifo cha dini za kizungu,na kuibuka upya kwa nguvu kwa kitu kinachoitwa ushirikina na imani za mizimu.
 
Huu utamaduni ni hatari sana. Ukiangalia maeneo wanaouendeleza huku kwetu utaona pattern fulani zinazofanana sawa na za huko uarabuni au maeneo mengine

Wengi wanaoa kwa hiari sababu wanaona ni sawa, kama wazazi wao walifanya hivyo ndugu zao wanafanya hivyo kwanini wao wasifuate
 
Mashahidi wa Yehova nao vp?
Kikundi kidogo cha watu waliotafuta ukweli kilianza kujifunza Biblia huko Allegheny Pennsylvania Marekani katika miaka ya 1870.Mambo waliyojifunza yaliwafanya wajitenge na makanisa makubwa.
Mfano wakaelewa kwamba Mungu si Utatu kama makanisa mengi yalivyokuwa yakifundisha.Yoh 14:28
Waliendeleza darasa hilo mpaka mwaka 1931 Wakaanza kuitwa jina la Biblia Mashahidi Wa Yehova.Isaya 43:10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…