Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
suala la kuamini ama kutokuamini ni mapendekezo yako...siwezi kukulazimisha maana mwisho wa siku hakuna mtu atakaebeba mzigo wa madhambi ya mwenziwe..upo?Uko serious kabisa? Hii huwa tunasoma for fun tu mkuu hamna wongofu humo.
Hawa ndiye mwanamke wa kwanza kuumbwa kwa wanaadamu...Msaada mkuu kuhusu Mwanamke aliyekuwepo kabla ya Hawa(eve)
nimeshakuwekea hapoMuhutasari kidogo kabla sijaipitia.
• Asili ya Hadithi: Kulingana na maandiko ya kale ya nje ya Biblia (kama vile Alphabet of Ben Sira), Lilith aliumbwa na Mungu wakati mmoja na Adamu kwa kutumia udongo uleule.Hawa ndiye mwanamke wa kwanza kuumbwa kwa wanaadamu...
Mtume Muhammad alikutana na kundi la majini baada ya kutoka katika mji wa Taif kuwahubiria watu juu ya Uislam. Walimkataa na hats kumfukuza kwa kumtupia mawe...Huwa najiuliza Majini walisomewa nn hadi wakajua ni neno la allah? . Wakat kipind hiko quran haikuwa kwenye mfumo wa kitabu?.
Mohamed hakuwa mchawi, je aliwezaje kukutana na majini weng kwa wakati mmoja?. Kwenye vikao vya majini au?.
Majini haya bila shaka ni ya kiarabu. (Ofcoz maana walimuelewa Mohamed).
sidhan kama mizimu ya Babu zetu walihudhuria.
Kama wanahudhuria Misikitini , je wana misikiti yao au na wao leo tutabanana nao kwenye swala ya ijumaa?.
Sina mkuu... ila from here unaeeza ku generate PDF FileKama uko na softycopy itupie humu.
Hadi sasa bado yanasilimu au ni kipindi kilekile cha Mohammad tu. Na je alikutana na majini yote duniani au machache ya hapo middle east. Jazia kidogoNi kwamba Majini walikutana na Mohamed. Na wakasikiliza Quran na wakakiri ni neno la allah.
Na wakasilimishwa na wakawa waislamu.
Wengine wakakataa. Na quran inasema waliokataa watakuwa kuni za jehanamu.
Majini yanazaliana na yanaenda msikitini kama walivyo waislam wengine.
Umeeelewa ulichokiandika?Upuuzi mtupu
Asante sana.SURA AL JINN.
1. Kwa jina la Mwenyezi Mungu,
Mwingi wa rehema, Mwingi wa ukarimu.
2. Sema: Imefunuliwa kwangu ya
kuwa kundi la majinni walisikia wakasema: Hakika Tumesikia Qur'an ya ajabu,
3. Inaongoza kwenye uongofu, kwa
hiyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha
yeyote na Mola wetu:
4. Na kwa hakika utukufu wa Mola
wetu umeinuka, Hakuchukua mke wala mwana:
5. Na kwa hakika mpumbavu miongoni mwetu alikuwa akisema maneno ya
upuuzi juu ya Mwenyezi Mungu;
6. Nasi tulikuwa tukidhani ya kuwa
watu na majinni hawatasema uwongo juu ya Mwenyezi Mungu
7. Na hakika kulikuwa na watu
miongoni mwa wanadamu wakijikinga kwa watu miongoni mwa majinni, hivyo wakawazidishia kiburi:
8. Na kwa hakika wao walidhani
kama mlivyodhani ninyi ya kuwa Mwenyezi Mungu Hatamtuma ye yote.
9. Nasi tuligusa mbingu tukaiona
imejaa walinzi wenye nguvu na nyota zing'aazo.
10. Na hakika tulikuwa tukikaa
humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini atakayejitahidi kusikiliza sasa atakuta kimondo kikimvizia.
11. Nasi hatujui kama shari inatakiwa kwa wale wanaokaa ardhini au
Mola wao Anawatakia mwongozo.
12. Na hakika katika sisi wamo
wema na wengine katika sisi ni kinyume cha hayo: tulikuwa njia mbalimbali:
13. Nasi tulijua ya kuwa hatuwezi
kumdhoofisha Mwenyezi Mungu katika nchi wala hatuwezi kumponyoka kwa kukimbia:
14. Nasi tulipousikia mwongozo,
tukauamini, basi anayemwamini Mola wake hataogopa hasara wala ubaya:
15. Nasi wamo miongoni mwetu
waliosilimu na wamo miongoni mwetu wanaokengeuka; lakini aliyesilimu basi hao ndio hutafuta wema:
16. Waama wanaokengeuka basi
wamekuwa kuni za Jahanamu.
17. Na kama wangalishika kwa imara njia (iliyonyoka) Tungaliwanywesha
maji kwa wingi,
18. Ili Tuwajaribu kwa hayo. Na
anayepuuza kumkumbuka Mola wake Atamsukuma kwenye adhabu ngumu:
19. Na kwa hakika misikiti yote ni
ya Mwenyezi Mungu, basi msimwombe mwingine pamoja na Mwenyezi Mungu.
20. Na hakika Mtumishi wa Mwenyezi Mungu aliposimama kumwomba
walikuwa karibu kumwangukia (wamwangamize).
21. Sema: Ninamwomba Mola
wangu tu wala simshirikishi na ye yote.
22. Sema: Kwa hakika mimi similiki
kwa ajili yenu dhara wala heri.
23. Sema: Bila shaka hapana ye yote
awezaye kunilinda na Mwenyezi Mungu, wala sitapata makao ya salama ila Kwake Yeye tu:
24. Ila kwa kufikisha (ujumbe)
utokao kwa Mwenyezi Mungu na risala Zake; na atakayemwasi Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, basi bila shaka atapata moto wa Jahanamu, watakaa humo muda mrefu.
25. Hata watakapoyaona wanayoahidiwa, ndipo watajua ni nani msaidizi dhaifu na mwenye idadi ndogo
26. Sema: Sijui kama yako karibu
mliyoahidiwa au Mola wangu Atayawekea muda mrefu:
27. Yu Mjuzi wa yasiyoonekana, na
Hampi ye yote uwezo wa kiutawala juu ya milki Yake ya mambo yasiyoonekana.
28. Isipokuwa yule Anayemchagua
kuwa Mtume Wake. Na mbele yake na nyuma yake hutembea malaika kama walinzi.
29. Ili Ajulishe ya kuwa wamekwisha fikisha risala za Mola wao; na
Ameyazunguka waliyo nayo na Amehesabu idadi ya kila kitu
FOR FUN .unadhani gazeti la sani hilo?Uko serious kabisa? Hii huwa tunasoma for fun tu mkuu hamna wongofu humo.
Hivi ikitokea rais amekutana na wakazi wa chamwino.amekutana na wakazi wote au wachache waliowawakilisha wengine?Asante sana.
Ila kuna vitu vingi haijaeleza sijui tunaweza kuvipata wapi?
Mfano
Inasema alikutana na kikundi cha majini. Wapi? Na je ni majini yote duniani au ni kakindi kadogo huko alikokutana nao.
Hao majini kabla ya kukutana nao walikuwa wanadini gani au walikuwa wanaamini nini
Wewe kama muislam umewahi kukutana nao. Na je uliokutana nao ni wale waliosilimu au waasi. Kuna muingoliano wowote kati ya majini na watu? Au unaushahidi wowote wa muingiliano wa majini na watu?
Je majini na haya tunayoyaita mapepo au mashetwain yanayuhusiano wowote?
Take it easy mkuu. Hata wewe unaweza kusoma Veda for funFOR FUN .unadhani gazeti la sani hilo?
Alikuwa akisoma kutoka wapi?Waliketi wakawa wanasikiliza jinsi Mtume Muhammad (pbuh) alipokuws akiisoma Quran kwa ufasaha.
Ila sio Quran ni habari nyingineTake it easy mkuu. Hata wewe unaweza kusoma Veda for fun