Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

...mount meru
...kimandolu
...ngulelo
...mferejini
....kwa mrefu
...chama
....tengeru
...kwa fundi
....kilala..........

Nilikua najiuliza watu wamelewa au!
Kumbe makonda mmelala kwahiyo mnaweweseka?!
 
kwa Fundi,
... Butu,
... Chela,
... Panda,
... Gadafi,
... Pachoto,
... Bomba Mbili.
 
Tazara, Mchicha,
Karakana, Vingunguti (aka mahakama ya mbuzi), Sido, Msaada jet, Kipawa,
Airport, Posta, Majumba sita, Njia panda Segerea, Banana, Ukonga,
Madafu, Mombasa.

Tukianza na Jet,kwa gude,reli,sheli,mwanzo,kona,mwanga,mwisho wa Lami.
 
Lufungira,mwisho wa fensi,getini,magereza,mshindi,bonanza,chinangali,kwa mzee haji......
 
1. Manyanya
2. Studio
3. Popo Bawa
4. Kwa mtogore
5. Jangwani
Endeleaaa.......

Ila jaman makonda wa daladala wameyaaribu majina ya vituo cku hizi kwa mfano kituo cha:-
Popobawa wanakiita-Kwa shemeji
Makaburini wanakiita-Mwisho wa nyodo
Jangwani wanakiita-Maji ya ugoko
Kagera wanakiita-Kaitaba
Argentina wanakiita-Kwa kina Mesi
Kwa remmy wanakiita-Kwa marehemu

Kama unajijua ni mgeni either wa maeneo hayo na ndio umepanda daladala muombe konda mapema akifika akujulishe
 
Kwelinimegundua jf tupo watoto wa mbwa tu!mana sijaskia vtuo vya masaki,o.bay,mbezi beach n.k vkitajwa au wao kwavle wanaprivate hawapandi mabasi basi hawajui vtuo vyao ?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kwelinimegundua jf tupo watoto wa mbwa tu!mana sijaskia vtuo vya masaki,o.bay,mbezi beach n.k vkitajwa au wao kwavle wanaprivate hawapandi mabasi basi hawajui vtuo vyao ?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Huko hata daladala hazifiki sehemu nyingi,mfno mbezi beach hakuna daladala, oysterbay ni daldala tano tu za posta zinazopita hailie salesie road ,na zile za msasani/masaki zinazopita kimweri road.
 
Kwa Omar kopa,mwanakwerekwe,kwa mwanyanya,taveta,haina shehe,kisima majongoo,
 
Mkunduchini,mapajani,kidevu mbele,zubaa uachwe......viko mombasa kenya
 
Mini, kwa walokole, kwa sigi, kwa ndele, mookoro, kwa mkorofi mwisho wa gari
 
Mombasa/kwa diwani/kwa maguruwe/kwa mfuga mbwa/kwa matiasi/maili moja/bomubomu kijiwe samli/mwembe yanga endelea
 
sanene, kwabibi nyau , chama , sheli, segerea, mbuyuni, kituokipya,kismatii, msikitini, Vodacom , kwa malisa,
 
Ifuatayo ni orodha ya majina ya vituo vya dala dala yaliyopo nchi nzima.

1. Shule.

2. kanisani.

3. darajani.

4 gereji.

5. ccm.

6. kona.

7. njiapanda.

Ongezea....
 
Back
Top Bottom