balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Mwenda. Burton Mwenda alias MwijakuMbona Mwijaku hujamuandika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenda. Burton Mwenda alias MwijakuMbona Mwijaku hujamuandika?
Kwa maoni yangu sababu zaweza kuwa;Ni nini sababu za wanaCCM wote hawa kujitokeza mwaka huu 2022 kugombea nafasi ya uspika kupitia chama chao,
- Je ni ongezeko la demokrasia ndani ya chama cha CCM ?
- Kutoridhika kwa mwenendo wa Bunge kuburuzwa
- Wagombea hawa 2022 katika makumi uspika ni dalili mtifuano ndani ya CCM kwa nafasi zote udiwani na ubunge 2025
- Chama kimeshindwa kudhibiti nidhamu ya wanachama kujipima kikweli kweli wao wenyewe binafsi kuwa "wanatosha" kuwania uongozi ?
- N.k
Tulia anafaa kwani ameshapata uzoefuNaunga mkono hoja
PPamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants
Wanabodi, Natanguliza kwa kuomba msamaha kutumia maneno makali kwenye uzi huu, kwasababu kwa hapa nchi yetu ilipofika, labda kwa kutumia maneno makali kama haya, ndio yatasaidia tuweze kuelewana na kutubadilisha to change for the better!. Baadhi ya wananchi wa Tanzania ni ma ignorants, baadhi...www.jamiiforums.com
Hata JYN aliingia baada ya kupata uzoefu lakini hukuwa Spika Bora, alikuwa bora spika. Kati ya waliojitokeza, tukiwapanga kwa nani anaweza kutupatia spika bora, Dr. Tulia hata kumi bora, haingii!.Tulia anafaa kwani ameshapata uzoefu
Pamoja na uzoefu wake,hata hio nafasi ya unaibu alioutumikia alionyesha udhaifu mkubwa hafaiTulia anafaa kwani ameshapata uzoefu
Ila jamani watanzania kupitia zoezi hili la kujaza nafasi ya uspika, tumeonesha jinsi tusivyokuwa serious na mambo yetu. Nafasi muhimu kama ya spika inafanyiwa utani wa kiwango kile, kupitia tukio hili ni dhahiri kuwa:Mwenda. Burton Mwenda alias Mwijaku
Utitili huu unaonyesha ni jinsi gani hadhi ya Bunge letu imeshuka na hasa kiti cha Speaker. Hivi kweli hata kama tuna demokrasia..watu zaidi ya 50 toka Chama kimoja wanaomba ridhaa ya kupendekezwa kugombea nafasi ya Speaker? Hii inaonyesha pia Chama husika kukosa mikakati ya kutengeneza viongozi na kujidhalaurisha.15 January 2022
Taarifa toka makao makuu ya CCM Dodoma pia kutoka Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba na Afisi ya CCM Kisiwandui Unguja Zanzibar .
Wanachama wa CCM wanaotia nia kugombea nafasi ya uspika baada ya Spika Job Y Ndugai kujiuzulu January 2022 ni hawa wafuatao :
- Andrew Chenge : mwanasheria mkuu wa serikali wa zamani
- Sophia Mathayo Simba
- Dr. Mussa Shafii Ngonyani
- Wakili Faraji Rushagama
- Rahmaddin Rashid Ismaili
- Hamisi Rajabu
- Festo John Kipate
- George Francis Nangale
- Barua Abdi Mwakilanga
- Zahoro Rashid Hanuna
- Thomas David Kirimbunyo
- Angelina Bello John
- Eng. Abdulaziz Jahad Hussein
- Dr. Tulia Ackson : Naibu spika chini ya Job Ndugai
- Dr. Thomas Kashililah : katibu wa bunge wa zamani
- Stephen Masele : naibu spika wa zamani Bunge la Afrika
- Mussa Azzan Zungu : meya wa zamani wa Ilala Dsm.
- Joseph Musukuma :
- Ezekiel Maige : waziri wa zamani
- Asia Juma Abdallah : mkuu wa wilaya wa zamani
- Dr. Titus M. Kamani : waziri wa zamani
- Tumsifu Mwasamale : Afisa Maendeleo ya vijana mkoa wa Dodoma
- Prof. Handley Mpoki Mafwenga : mtumishi wa serikali / umma
- Goodluck Mlinga : mbunge wa zamani wa CCM
- Prof. Norman Adamson Sigala
- Hatibu Madata Mjega :
- Dr. Linda Salekwa Ole Saitabau
- Emmanuel Simon Sindama
- Bi. Uwesu Msumi
- Hilal H. Seif
- Wakili Emmanuel Paul Mngare
- Athumani Mfutakamba
- Wakili Nduruma Majembe
- Mwenda Burton Mwenda
- Henry Erasto Kessy
- Josephat Malima
- Adam Nyanyavanu
- Eng. Stella Manyanya
- Andrew Kevella
- Luhanga Mpina
- Hussein Migoda Mattaka
- Dr. Godwin Maimu
- Mohammed Ali Mmanga
- Esther Stefano Makazi
- Comrade Amos Sollo
- Godwin Kunambi - mkurugenzi wa zamani wa jiji la Dodoma
- Goodluck ole Medeye
- Juma Hamza Chumu
- Baraka Omari Baibato
- Hamidu Chamani
- Fikiri Saidi : mkuu wa wilaya wa zamani
- Bi. Dotto Balele Mgasa
- Wakili Onyango Otieno
- Eng. Samuel Hayuma
- Merkion Ndofi
- Abwene Majula
- Patrick Nkandi
- ..
- ..
- ..
- ..
- ..
Toka Kumbukumbu mwaka 2015 :
waliogombea nafasi ya uspika toka vyama mbalimbali walikuwa wanane (8) tu
WALIOPITISHWA NA VYAMA VYA SIASA KUGOMBEA NAFASI YA USPIKA 2015
Jumla ya wagombea nane (8) wamejitokeza kugombea kiti cha Spika wa Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akiongea na waandishi wa habari leo mjini Dodoma, Katibu wa Bunge, Dkt Thomas Kashilillah amesema, “nimepokea majina nane kutoka vyama nane vya siasa watakaogombea nafasi ya Spika wa Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano .”
Amewataja waliojitokeza kuwania nafasi hiyo kuwa ni, Mhe. Peter Leonard Sarungi kutoka chama cha Alliance for Tanzania Party (AFP), Mhe. Hassan Kisabya Almas kutoka Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Mhe. Dkt. Godfrey Rafael Malisa kutoka Chama cha Kijamii (CCK), na Mhe. Job Yustino Ndugai (Mb) kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM).
Wengine ni Mhe. Goodluck Joseph Ole Medeye kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Richard Shedrack Lyimo kutoka Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Mhe. Hashim Spunda Rungwe kutoka CHAUMMA na Mhe. Robert Alexander Kasinini, Chama cha Democratic Party (DP).
Kwa mujibu wa Dkt Kashilillah, uchaguzi wa Spika utafanyika kesho tarehe 17 Novemba, 2015 kuanzia saa tatu asubuhi katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.
Mbali na kutaja majina ya wagombea wa Spika wa Bunge, Dkt Kashilillah amesema mpaka tarehe 16/11/2015 jumla ya wabunge 348 wamekwisha sajiliwa.
Aidha Dkt Kashilillah amesema kuwa maandalizi yote kwa ajili ya mkutano wa 11 wa bunge yamekamilika.
Katika mkutano huo wa kwanza wa bunge la 11, kutakuwa na shughuli mbalimbali zikiwemo kumchagua Spika, Naibu Spika na kuthibitisha jina la Waziri Mkuu
Source : Parliament of Tanzania
Jibu ni lahisi sana, Ajira na mafao kedekede wakistaafu... ndio hilo tu ingawaje wanasisitza wengine wajiajiri ili hali wote hao wanataka waajiliwe na bunge...Ni nini sababu za wanaCCM wote hawa kujitokeza mwaka huu 2022 kugombea nafasi ya uspika kupitia chama chao,
- Je ni ongezeko la demokrasia ndani ya chama cha CCM ?
- Kutoridhika kwa mwenendo wa Bunge kuburuzwa
- Wagombea hawa 2022 katika makumi uspika ni dalili mtifuano ndani ya CCM kwa nafasi zote udiwani na ubunge 2025
- Chama kimeshindwa kudhibiti nidhamu ya wanachama kujipima kikweli kweli wao wenyewe binafsi kuwa "wanatosha" kuwania uongozi ?
- N.k