Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

Status
Not open for further replies.

Huo ni ukweli wako mtu mzima, mafunzo ya ualimu rekebeshi kwa walioendaga monduli lengo ilikua ni kupewa mafunzo maalumu ili wapate sifa za kuendelea na advanced diploma, ndio mana kama ulifuatilia vizuri wachaguliwa walikua na principal moja moja kwenye combination na hata wengine kuwa s~flat. so mi cwez kukuamini kabisa boss
 
Kumbe ualimu ni dili au mlofeli ndo mwachachawa kutoona majina yenu?
 

Kwan walochaguliwa waliapply online?
 
Kumbe ualimu ni dili au mlofeli ndo mwachachawa kutoona majina yenu?

na wewe toa kimeta chako, walofeli wana division one~division three advanced level. Tuliaply advanced diploma ili tuingie kwenye system mapema, pia sababu nyingine kulegalega kwa bodi ya mikopo kushindwa kufadhili wanafunzi wote wa elimu ya juu, usituone tumefeli kimeta unakosea! mi uhakika ninao hauja nishinda matokeo ya form six wewe kelele tu kwenye mtandao
 
Vp kuhusu wale wa certificate?

sijajua kuhusu walioomba certificate ndugu yangu. Mimi kuna dogo fulani wa jiran aliomba kusoma ile advance + education tena alchagua CBE (Chemistry, biology na Education) lkn cha kushangaza wamempeleka diploma ya awali.
 
sijajua kuhusu walioomba certificate ndugu yangu. Mimi kuna dogo fulani wa jiran aliomba kusoma ile advance + education tena alchagua CBE (Chemistry, biology na Education) lkn cha kushangaza wamempeleka diploma ya awali.

Alituma online au manually?
 

Ndugu yangu SOCIETY'S FOCUS, ukweli unauma lkn n bora ujue ukweli, muda utafika utakubali tu mkuu.
 

chuo cha KASULU hakijatoa majina ww ucbshe ovyo
 
Habarri yenu tena wadau wa blog hii
pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE
BLOG LEO TENA TUMEWALETEA
majina ya wanafunzi waliochaguliwa
vyuo vya ualimu mwaka wa masomo
2014/2015 .
Kama ilivyo kawaida yetu tutatoa
huduma ya kuangalizia majina kwa
wale wote mtakao hitaji huduma
yetu,ili kuangaliziwa jina lako fanya
yafuatayo:
1.Tuma jina lako na shule
uliyomalizia.
2.Tuma tsh.800 kwa mpesa kama
huna mpesa tuma kwa salio kwenda
namba 0768260834.(pesa ya
huduma)
3.Hatutajibu mtu ambaye hatatuma
pesa.
4.Kama unatumia tigo,airtel au zantel
tafadhali tafuta mtu mwenye voda
utume pesa hiyo hatupokei vocha
number.
5.Utajibiwa mda mfupi mara tu
utakapotuma pesa yako.
6.endapo utamtumia namba hii
mwenzako mwambie atume pesa ndo
atajibiwa.
USIPIGE SIMU TAFADHALI
HATUTAPOKEA SIMU YA MTU
YOYOTE


Nime copy hivyo kwa kuwa link zilizowekwa hazifunguki kule nacte na hata kwa blog hii ya maswayetu.
Jaribu hiyo njia nyingine ya kulipia
 
chuo cha KASULU hakijatoa majina ww ucbshe ovyo
Ok, upo sawa lkn umeshajiuliza kwann mwaka huu vyuo mfano: korogwe na klerruu vimebadilishwa kuacha kutoa Ordinary diploma ya elimu na kuanza kutoa Advanced diploma ya elimu? Na kama ujuavyo Advanced diploma ya elimu ni sawa na degree ya elimu hamna utofauti ushajiuliza hilo? Why vyuo vya vingine mfano: tarime klkuw kinatoa diploma ya elimu ya sekondari kwa sasa kimepangwa kutoa diploma ya elimu ya awali + diploma ya elimu ya shule za msingi.
Hali imebadilika sana hivyo ni bora ujipange kutuma vyuo vingine ili ata kama ukikosa kasulu ujue unaibukia wapi lkn kusubilia wth all confidence itakucost, nchi yetu kila kitu siasa we fikiria kwa sasa chuo mfano korogwe kinavyotoa Advanced diploma kinakuwa sawa na mkwawa university au DUCE coz Advanced diploma is equivalent to degree, au hilo nalo unabisha? Ukishindwa kuona kwa macho papasa kwa mikono utapata majibu.
Tambua m sikukatishi tamaa bali nakupa uelewa wa hali inavyoenda, ikitokea chuo cha kasulu wakaletwa watu ndio neema yenu lkn tena huwezi jua watapelekwa watu wa sifa zipi kulingana na upangaji wa vyuo na mazomo ulivyobadilishwa kimyakimya ndugu yangu. Usikate tamaa.
All in all, I wish u all ze best
 
Hivi siyo utapeli huu jamani? Kwanini hiyo link ya Nacte isifunguke?
 

AAAAAAAAAAA CHAAAAAAAAA. mmmmhmmhhhhhh huo uongo sasa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…