SOCIETY'S FOCUS
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 498
- 685
Mkuu punguza jazba, kuhusu butimba wanafunz waliopelekwa kusoma michezo maana yake wanasoma na somo moja la kufundisha shuleni, mkuu muda si mrefu ---- wanafunz 345 wa mafunzo maalum rekebishi walipelekwa monduli so its over, kuhusu vyuo hivyo vingine ulvyotaja sijui.
Kumbuka watu maweomba kusoma diploma ya elimu wamepangwa Advanced diploma ya elimu ambayo ni sawa na degree ya elimu mkuu upo hapo!
Sikukatishi tamaa ila nakupa moyo ili uwe na moyo positive ndugu yangu na huo ndo ukweli
Huo ni ukweli wako mtu mzima, mafunzo ya ualimu rekebeshi kwa walioendaga monduli lengo ilikua ni kupewa mafunzo maalumu ili wapate sifa za kuendelea na advanced diploma, ndio mana kama ulifuatilia vizuri wachaguliwa walikua na principal moja moja kwenye combination na hata wengine kuwa s~flat. so mi cwez kukuamini kabisa boss